Uongo wa gazeti la Tanzania Daima

Uongo wa gazeti la Tanzania Daima

gazeti hili linamuhariri /makamo muhairiri muislam, au mnalaumu annur tu humu jf?

mhariri mtendaji absalom kibanda
naibu mhariri mtendaji ansbert ngurumo
kaimu mhariri wa makala amana nyembo
mhariri wa michezo deodatus mkuchu

mhariri yupi kati ya hao ni muislamu?
na anaathiri vipi utendaji wa kazi zake/na za gazeti lake kwa uislamu?

au
mhariri kuwa wa dini flani kunaathiri vipi utendaji wake?
chombo cha habari kuwa na maudhui ya dini flani kuna athari gani katika mtazamo/mwenendo wake kisiasa?
 
Kwenu gazeti zuri ni lile linaloandika Tanzania imepiga hatua kiuchumi na umeme sasa hakuna mgao. Na likiandika uchumi umekuwa ghafla kwa asilimia 500, basi hilo ndilo mtalisifu mpaka basi. Yaone macho.....................
 
Tuwe wazi na wakweli. Uandikaji habari katika vyombo vya habari umakini unatakiwa sana. Kuandika habari kwa kutegemea kusikia toka kwa watu bila uhakika, ni hatari na si uadilifu. Wanatakiwa kujirekebisaha kidogo isije kuwa tu kupanua wigo wa soko
 
Jana kulikuwa na thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo kuhusu Dowans" Source ya thread hiyo ilikuwa gazeti la "TZ Daima". Watu wengi tulipoteza MUDA mwingi kuchangia thread hiyo. Katika gazeti hilo kulinukuliwa habari zilizotoka katika kikao cha baraza la Mawaziri ambacho JK alikuwa ni mwenyekiti wake. Nukuu mbalimbali zilitolewa kama ushahidi wa kilichosemwa kikaoni.

Habari zilizothibitishwa na Sitta mwenyewe na Pia Katibu mkuu Ndg. Ph. Luhanjo zinasema HAPAKUWA NA KIKAO CHA MAWAZIRI WALA HAKUNA ALIYEWAZIBA MDOMO SITTA NA MWAKYEMBE. habari hizi zimeandikwa na magazeti yote ya leo kasoro TZ Daima.

Wadau: Katika tasnia ya habari, Je, hamuoni kama gazeti hili ni hatari kwa usalama wa nchi yetu?. Je, gazeti kama hili katika utawala unaojali sheria za vyombo vya habari halipaswi kufungiwa kwa muda? Je, si kweli kwamba waandishi wa gazeti hili ni MAKANJANJA?. naomba tuwe wazalendo katika kujadili hili. Tanzania ni yetu na ni sisi wenye damu mpya tunaoweza kuifikisha nchi tunapopataka kwa AMANI.

this guy is cleverer than youView attachment 20963
 
Gazeti la TANZANIA DAIMA limeomba radhi kwa Sitta na Mwakyembe kwa kuandika habari za uzushi dhidi yao.
Kinachonisikitisha ni kwamba uongo na uzushi ulioandikwa ni mkubwa na wa hatari. Ingekuwa kikao cha baraza la mawaziri kilifanyika, na wakawa misinformed juu ya kilichotokea tu, tungeelewa. Lakini HAKIKUWAPO KABISA.
Binafsi nimezoea kuona uzushi wa namna hii kwenye magazeti ya udaku, lakini kwa gazeti kubwa kama Tanzania Daima..mmmh mmh HAIKUBALIKI na LIMESHUKA HADHI.
Napata hofu nikifikia huenda basi WASHATUDANGANYA SANA KABLA YA HAPA.
 
Utakua umechanganya kidogo; la udaku ni lile gazeti lililozulia Marehemu Ismail Omary jambo na bado likakosa hata ustaarabu wa kuomba radhi.
 
How can a journalist cook a story like that? from no where?
huyo jamaa alikaa tu newsroom na kujiandikia story yake.
 
Usichanganye mada. The extent of lies cooked by Tanzania Daima is unimaginable.

Utakua umechanganya kidogo; la udaku ni lile gazeti lililozulia Marehemu Ismail Omary jambo na bado likakosa hata ustaarabu wa kuomba radhi.
 
Usichanganye mada. The extent of lies cooked by Tanzania Daima is unimaginable.

Amani Baraka, kama nakukumbuka vile. Wewe si yule Mhariri wa gazeti la 'Sani'? Hivi tulikutana wapi mara ya mwisho vile nikumbushe kidogo???
 
Muwatue Tanzania Daima.Hamna udaku wala nini?
 
Gazeti la TANZANIA DAIMA limeomba radhi kwa Sitta na Mwakyembe kwa kuandika habari za uzushi dhidi yao.
Kinachonisikitisha ni kwamba uongo na uzushi ulioandikwa ni mkubwa na wa hatari. Ingekuwa kikao cha baraza la mawaziri kilifanyika, na wakawa misinformed juu ya kilichotokea tu, tungeelewa. Lakini HAKIKUWAPO KABISA.
Binafsi nimezoea kuona uzushi wa namna hii kwenye magazeti ya udaku, lakini kwa gazeti kubwa kama Tanzania Daima..mmmh mmh HAIKUBALIKI na LIMESHUKA HADHI.
Napata hofu nikifikia huenda basi WASHATUDANGANYA SANA KABLA YA HAPA.

HabariLeo = Udaku
 
You have my back up
 
Kuna maswali ya kujiuliza.... nani mmiliki wa gazeti hilo? je habari iliyoletwa na gazeti husika ilikuwa na nia gani? kibiashara au uchonganishi kati ya "serikali" iliyowafunga midomo kina Sitta na wananchi?

Nadhani kuna zaidi ya upotoshaji juu ya taarifa hiyo na ikumbukwe kuwa kuna usemi "Mtu akisifiwa watu wachache huamini,lakini akikashifiwa wengi huamini." sasa kwa taarifa hiyo imewachafua kina Sitta na kuonekana wao ni dhaifu.

Ni maoni yangu tu.... kuwa wengi wetu hawajui nini maana ya Demokrasia wanadhani ukiwa CUF, TLP au UDP ndio demokrasia hawafahamu kuwa hata kuwa na msimamo unaokinzana na wenzako ndani ya jamii na ukasikilizwa ni demokrasia pia. Demokrasia ni pana sana hata haya maoni yetu humu ndani ni demokrasia pia. Kutokufahamu nini maana ya demokrasia ndio kunakopelekea baadhi ya wanachama vindakindaki wa vyama vyetu vya siasa kuona uasi pindi baadhi ya watu wanaoheshimika kwenye vyama kutoa misimamo tofauti dhidi ya vyama vyao mfano Anna Malecela, Mzee Malecela, Samweli Sitta, Harison Mwakyembe kwa upande wa CCM na mtu kama Zitto Kabwe kwa upande wa chadema. Wanachama wanawachukulia watu hawa kuwa ni waasi na wanapendekeza iwe chinichini au dhahiri wafukuzwe kwenye vyama vyao ili waende kunakotoa misamamo sawia na misimamo yao. Wa chadema kila siku wanaimba wanawalilia watu kama kina Samweli Sitta na Mwakyembe na wakisema Zitto afukuzwe chamani.

Mimi kwa mtazamo wangu ikiwa ndani ya chama kuna mtu mmoja au wawili wanamtizamo tofauti hakuaathiri maamuzi ya chama kwa maana kutakuwa na wengi wenye kuunga mkono hoja zinazoletwa mezani na zitapita! Kikubwa vyama vitapata changamoto ndio vitakuwa na uwanja mpana kukuza demokrasia.
 
Back
Top Bottom