Uongo wa gazeti la Tanzania Daima

Uongo wa gazeti la Tanzania Daima

Wengi wa wadau hapa naona wanachangia kishabiki zaidi, kiukweli kabisa Tanzania Daima katika hili WAMECHEMKA na credibility yao imeshuka kwa kiasi kikubwa sana!!

Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania Daima kwa siku za hivi karibuni (habari na makala hasa za A. Kibanda), utapata shaka sana na content ya habari zake hasa kuhusu masuala ya Dowans na wahusika wakuu wa pande zote mbili.
 
Hili si ndilo lililosababisha na kuchochea MACHAFUKO Arusha?.
 
Ukweli umebainika. GAZETI LA CHAMA LIMEUMBUKA. Niliyasema hayo.

kazi kwetu tunaofuata mkumbo.
 
Wengi wa wadau hapa naona wanachangia kishabiki zaidi, kiukweli kabisa Tanzania Daima katika hili WAMECHEMKA na credibility yao imeshuka kwa kiasi kikubwa sana!!

Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania Daima kwa siku za hivi karibuni (habari na makala hasa za A. Kibanda), utapata shaka sana na content ya habari zake hasa kuhusu masuala ya Dowans na wahusika wakuu wa pande zote mbili.

Please exclude me mkuu nimechangia fairly bila kuegama upande wa kina Sitta wala wa Tanzania Daima...
 
Maneno yangu katika thread yangu ya jana yametimia.

NADIRIKI KUSEMA: GAZETI LA TANZANIA DAIMA NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI YETU KWA SASA PENGINE KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE. Ni jukumu la serikali inayozingatia utawala bora kulishughulikia!

"Jana kulikuwa na thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo kuhusu Dowans" Source ya thread hiyo ilikuwa gazeti la "TZ Daima". Watu wengi tulipoteza MUDA mwingi kuchangia thread hiyo. Katika gazeti hilo kulinukuliwa habari zilizotoka katika kikao cha baraza la Mawaziri ambacho JK alikuwa ni mwenyekiti wake. Nukuu mbalimbali zilitolewa kama ushahidi wa kilichosemwa kikaoni.

Habari zilizothibitishwa na Sitta mwenyewe na Pia Katibu mkuu Ndg. Ph. Luhanjo zinasema HAPAKUWA NA KIKAO CHA MAWAZIRI WALA HAKUNA ALIYEWAZIBA MDOMO SITTA NA MWAKYEMBE. habari hizi zimeandikwa na magazeti yote ya leo kasoro TZ Daima.

Wadau: Katika tasnia ya habari, Je, hamuoni kama gazeti hili ni hatari kwa usalama wa nchi yetu?. Je, gazeti kama hili katika utawala unaojali sheria za vyombo vya habari halipaswi kufungiwa kwa muda? Je, si kweli kwamba waandishi wa gazeti hili ni MAKANJANJA?. naomba tuwe wazalendo katika kujadili hili. Tanzania ni yetu na ni sisi wenye damu mpya tunaoweza kuifikisha nchi tunapopataka kwa AMANI".
 
Kuna hatari gani hapa? Acha umbeya wako! Hizi ni technique za kumchonoa mtu ili kujua msimamo wake. Hii huoni kama imetusaidia kujua kuwa akina 6 na mkyembe hawawezi kuzibwa mdomo na ccm. Habari hii haina madhra yoyote ni sawa tu na kuminterview 6 kama angeweza kuzibwa mdomo na ccm angefanyaje? Maswali ya interviwe siyo lazima ukae na naya ana kwa ana. Unaweza kumchokonoa mtu kwa habari controversoal kama hii kujua msimamo wake. T daima walifanya hiyo makusdi na wala hawaoni issue kuomba msamaha maana wameshawasilisha walichokitaka watu wajue kuhusu msimamamo wa 6. Huoni alivyo jibu mwenyewe 6 maana ndo alikuwa mlengwa. Mimi sioni makosa hapa labda ccm wataona maana wanaogopa lakini this is just a political game. Ni habari ngapi za kizushi zinaandikwa na magezi ya ccm na RA na hata ya serikali ambazo hazina credibility?
Unakumbuka juzi tu habari leo liliandika habari ya baba wa jina wa mauaji arusha likaishia kuumbuka jakesho yake tu. Mbona halijaomba hata msamaha, lilikuwa kisiasa zaidi likijaribu kucheza na akili za wtz lakini likashindwa. T daima lenyee kwa issue ya downs limefanikiwa kufikisha ujmbe kwamba 6 na mkyembe hawawezi kufumbwa mdomo. Kitu ambacho kimewafurahisha kila mtu!
 
Ndio tz daima ni gazet hatar mno la propaganda tena za uongo za chama fulani,ila sita na mwakyembe wameshatoa tamko kua tz daima inatakiwa iwaombe radhi na ikanushe habari hiyo ya uongo au watafungua mashtaka dhidi ya tz daima gazet la propaganda za uongo na upotoshaji.

Kila mtu anunue gazeti analoona halimuhatarishii maisha tusonge mbele maana muda unasonga sisi tunalumbana gazeti lipi si hatari
 
Jana kulikuwa na thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo kuhusu Dowans" Source ya thread hiyo ilikuwa gazeti la "TZ Daima". Watu wengi tulipoteza MUDA mwingi kuchangia thread hiyo. Katika gazeti hilo kulinukuliwa habari zilizotoka katika kikao cha baraza la Mawaziri ambacho JK alikuwa ni mwenyekiti wake. Nukuu mbalimbali zilitolewa kama ushahidi wa kilichosemwa kikaoni.

Habari zilizothibitishwa na Sitta mwenyewe na Pia Katibu mkuu Ndg. Ph. Luhanjo zinasema HAPAKUWA NA KIKAO CHA MAWAZIRI WALA HAKUNA ALIYEWAZIBA MDOMO SITTA NA MWAKYEMBE. habari hizi zimeandikwa na magazeti yote ya leo kasoro TZ Daima.

Wadau: Katika tasnia ya habari, Je, hamuoni kama gazeti hili ni hatari kwa usalama wa nchi yetu?. Je, gazeti kama hili katika utawala unaojali sheria za vyombo vya habari halipaswi kufungiwa kwa muda? Je, si kweli kwamba waandishi wa gazeti hili ni MAKANJANJA?. naomba tuwe wazalendo katika kujadili hili. Tanzania ni yetu na ni sisi wenye damu mpya tunaoweza kuifikisha nchi tunapopataka kwa AMANI.

Join date!!!
 
JAMANI MIE NAOMBA TUWE RATIONAL. Kama mtu kachemka inabidi aelezwe kuwa kachemka. Ili Tanzania Daima ioneshe userious wake inabidi aliyeandika hiyo habari aachishwe job. Under normal reasoning ni aibu. Yaani hadi unaquote statement za watu kumbe ni uongo. Hii mie imeniudhi. Gazeti nilikuwa nalipenda sana kumbe mambo yenyewe ndo haya. Kwahiyo nibakize Raia mwema na mwana halisi tu , na mwananchi, ahh. Hii hali sio. Tuwe serious ili tuonekane tunachokiongea kina mashiko. Upuuzi huu si uungi mkono. Sio lazima familia yako ikikosea uikosoe ukiwa kwa jirani. hata ukiwa ndani unaweza kemea maovu. Sasa mimi nasema hivi aliye cook hii nyuzi arudi home aanzishe project nyingine fasta.
 
Ni kweli kuwa Tanzania Daima wamemuomba radhi Sitta na Mwakyembe?

They need to be careful. JK atakuwa anawavizia kuwafungia. Uzushi mwingine utapelekea hawa watu wafungiwe.
 
Amani Baraka, kama nakukumbuka vile. Wewe si yule Mhariri wa gazeti la 'Sani'? Hivi tulikutana wapi mara ya mwisho vile nikumbushe kidogo???
HUYU NAYE NI MDAKU. anawajua mpaka wahariri wa udaku?????
kaaaaaaaaazi kwelikweli
 
Nakiri katika hili Tanzania Daima wameniangusha. Lakini nawasifia pia kwa kukubali kosa kwa kukiri kosa na kutambua kosa lao naahidi kuendelea kulisoma. Ikumbukwe pia kuna magazeti mengi hukosea na haya admit makosa kwa sababu nyingi tu ikiwapo kumiliki Mahakama.
 
Hutokea sana kweneye vyombo vya habari na sia ajabu........Mariam Shamte aliitia matatizono BBC enzi za Komandoo mpaka hela ikawatoka.....tatizo sio gazeti ni chanzo cha habari....wenye hela wamechezea chanzo
 
Kuna gazeti la serikali lilisema Chadema wamelazimisha moja ya familia za wahanga wa maandamano ya Arusha kupeleka mwili wa marehemu kijana wao viwanja vya NMC kwa ajili ya kuagwa. Familia hiyo ilikuja kukanusha habari hizo baadae kupitia Radio One. Mbona hukulisema gazeti hilo kwanza kabla ya Tanzania Daima? Sikuelewi.
 
Back
Top Bottom