Uongo wa gazeti la Tanzania Daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongo wa gazeti la Tanzania Daima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BULLDOZZER, Jan 20, 2011.

 1. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana kulikuwa na thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo kuhusu Dowans" Source ya thread hiyo ilikuwa gazeti la "TZ Daima". Watu wengi tulipoteza MUDA mwingi kuchangia thread hiyo. Katika gazeti hilo kulinukuliwa habari zilizotoka katika kikao cha baraza la Mawaziri ambacho JK alikuwa ni mwenyekiti wake. Nukuu mbalimbali zilitolewa kama ushahidi wa kilichosemwa kikaoni.

  Habari zilizothibitishwa na Sitta mwenyewe na Pia Katibu mkuu Ndg. Ph. Luhanjo zinasema HAPAKUWA NA KIKAO CHA MAWAZIRI WALA HAKUNA ALIYEWAZIBA MDOMO SITTA NA MWAKYEMBE. habari hizi zimeandikwa na magazeti yote ya leo kasoro TZ Daima.

  Wadau: Katika tasnia ya habari, Je, hamuoni kama gazeti hili ni hatari kwa usalama wa nchi yetu?. Je, gazeti kama hili katika utawala unaojali sheria za vyombo vya habari halipaswi kufungiwa kwa muda? Je, si kweli kwamba waandishi wa gazeti hili ni MAKANJANJA?. naomba tuwe wazalendo katika kujadili hili. Tanzania ni yetu na ni sisi wenye damu mpya tunaoweza kuifikisha nchi tunapopataka kwa AMANI.
   
 2. u

  urasa JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  magazeti hatari ni al huda na al nuru,sauti huru,tazama,mtanzania,rai,habari leo
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Wewe hujui gazeti hatari ktk nchi yetu?..............ni mtanzania , al nuur, na vijarida vingine vya kiislamu vyenye kufagilia na kuchochea udini
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,864
  Trophy Points: 280
  Toa kwanza sababu kwa nini tukuamini wewe na si Tanzania Daima? maana haya makanusho tumeshayazoea, imekuwa kama fasheni fulani hivi
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Huku kwingine mnatupoteza maboya tu...ni sawa na kuleta mjaala wa udini wa uongo wa kupikwa na ccm kwa kuwatuma masheikh badala ya kujadili katiba...............
  Watz wa leo sio wale wa jana tumedhamilia na tuko imara hatutikisiki hata vikosi vyote vya ulinzi na usalama viamriwe na kikwete na ccm kuwaua watz walioamua mabadiliko tutakufa hatimae ukombozi wa nchi mikononi mwa kikwete na mafisaid utapatikana
   
 6. M

  Mwera JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio tz daima ni gazet hatar mno la propaganda tena za uongo za chama fulani,ila sita na mwakyembe wameshatoa tamko kua tz daima inatakiwa iwaombe radhi na ikanushe habari hiyo ya uongo au watafungua mashtaka dhidi ya tz daima gazet la propaganda za uongo na upotoshaji.
   
 7. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gazeti hili linamuhariri /makamo muhairiri muislam, au mnalaumu annur tu humu jf?
   
 8. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Pamoja na Daily News
   
 9. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gazeti hili linamuhariri /makamo muhariri muislam, au mnalaumu annur tu humu jf?
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nilitegemea watakanusha,sasa ukishafungwa mdomo unafikiri inakuwaje??? ukiufungua unakanusha tu.............lol
   
 11. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhhh!!! SITTA MWENYEWE AMEKANUSHA! kwa hiyo naomba uchangie kwa ueledi mzuri.
   
 12. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Lile kusudio la Bernadi Membe kulishati gazeti la mwanachi limeshafika mahakamani? Sijaona sehemu yeyote lile gazeti lilipokanusha habari inayolalamikiwa na Membe.
   
 13. Don Alaba

  Don Alaba Senior Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tuone yatakayojiri leo baada ya kikao cha Kamati kuu CHI CHI EMU
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,837
  Trophy Points: 280
  Hawatashitaki ng'o.....kwa kuwa ni kweli wamefungwa mdomo...tumewazoea na vigeugeu vyao....na watuambie basi kama msimamo wao walioutowa awali kuhusu Dowans uko vilevile kupitia vyombo vya umma ikiwemo ukosowaji wao wa werema na ngeleja....Hapo ndio tutajua kama ni kweli tanzania daima wamesema urongo au la.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,450
  Likes Received: 5,837
  Trophy Points: 280
  Kakanusha kwa hiari au shinikizo?
   
 16. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tushawazoea atii
   
 17. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hatari ni nyie mnaosema gazeti limedanganya,( mnamiliki dola) na hamjachukua hatua.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Acha mambo yako ya udini! Nadhani hapo ulikuwa unaimanisha Mhariri
   
 19. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  umesahau gazeti ambalo halinunuliwa labda mpaka kuwe na matokeo ya mitihani la UHURU
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Al huda na Annur haya huwa sisomi kabisa! Nikiyaona hununu na kuwapa wamama wafungie maandazi
   
Loading...