Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,497
- 17,574
Gesi tumepigwa siku nyingi yule muhuni wa chalinze ni mtu wa ovyo kabisaYeah na pia hela za gesi wanazokusanya nyingi zinaenda kwa mabeberu ndio maana Magufuli hakuona tija tokana na mkataba mbovu aliopitisha chief jakaya..ila za JNHPP asilimia 80 au zaidi zitakuwa zetu humu endapo mradi ukikamilika. Tukinunua umeme hela zote zinabakia ndani.
Kinachowaboa kina Marope ni kuwa kule JNHPP mkataba haujachezewa ili kuwanufaisha wao ama CCM vigogo. Ndio maana wakageuka anti-magufulification. Hawakumpenda kabisa sababu hakuwapa chance ya kutengeneza michongo ya 10%