Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,119
- 173,952
Hizo hoja ni mfu if it ain’t broken why you tryna fix it?Umesomeka mkuu 'Chige', tena kwa uangalifu mkubwa sana.
Kutokana na hizi hoja makini unazoziwasilisha humu, itakuwa ni mjinga tu atakayeweza kuzirukia na kuzijibu bila ya tafakuri makini.
Umejipambanua vyema sana na kueleza unaposimamia. Ni jambo jema, lakini usisahau pia kwamba kuna wengine wanaoona mambo katika mwanga tofauti na wako. Unayoyaweka hapa hayatoki kwenye msahafu, ni mambo yanayojadilika. Tutayajadili (niongeze, "kwa makini", kwa sababu naona unaweka umakini mkubwa kwa unayoyawasilisha.
Hizi mishe zote ni sababu ya Marope tu kuingizwa katika nafasi ya uwaziri wa nishati inaeleweka kabisa kuwa amewekwa pale si kwamba ni mmbora sana ila yupo kimkakati ili kukamilisha mipango ovu ya watu flani tu ambao atakula nao.
Siku zote mtu akiwa na jambo lake hakosi sababu hata mwanamke akitaka kukuacha lazma akupe mtihani ambao anajua lazma utaushindwa tu ili iwe kama sababu ya kukuacha.
Kusingizia maintanance ni utoto sababu hata kama ni hivyo unaweza fanya maintanance ya mitambo kwa phase bila kuathiri uzalishaji.