Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,955
Uonevu? Una maana gani kisema kaonewa? Wewe unatembea na Mbowe? Mbowe aliwahi kusafiri nje ya Nchi kwa miezi si chini ya minne kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka kifo cha JPM hakuwepo. Unajua alikuwa wapi na nani na wanafanya nini? Acheni vyombo vya dola vifanye kazi yake.