Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,843
Watumishi wa umma wakiwemo jeshi la polisi wana changamoto nyingi ikiwemo kukosekana kwa makazi bora, hali inayoathiri weledi na ufanisi wao wa kazi.
Moja ya vipaumbele vya CHADEMA pale itakaposhika dola ni kuboresha maisha ya watumishi wa umma wakiwemo polisi na walimu.
Ziara yangu ya mikutano ya hadhara Kanda ya Ziwa pamoja na kutukutanisha na wananchi, imetupatia nafasi ya kuyajua kiundani changamoto lukuki ambazo miaka zaidi ya 60 ya uhuru watawala wa CM wameshindwa kuyatolea ufumbuzi.
Freeman Mbowe
===
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Mbowe, Lissu na wanachadema wote wapambanaji, maisha ya walimu ni umasikini sugu zaidi ya kutu. Inahitaji viongozi wa kuwakomboa.