HelcopterChopa
Member
- Sep 13, 2023
- 35
- 46
Huyu patriot,
Ni mtu wa maana sana nchini, Lakini pia ni mtu sahihi sana, muhimu mno kwa mustakabali wa amani, utulivu na utangamano miongoni mwa wa Tanzania nchini.
Njia anazopitia, njia anaozoingilia na kutokea kitaifa na kimataifa, ni ishara ya umakini na umuhimu wake kwa Taifa na kimataifa.
Freeman Aikael Mbowe anaaminika na kukubalika si tu ndani ya chama chake, bali pia nje ya chama chake, kitaifa na kimataifa, serikalini na miongoni mwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Licha ya mathila ya kisiasa, manyanyaso, uonevu na ukanadamizwaji alopitia, ni dhahiri mzalendo huyu amesamehe na amesahau. Hahitaji huruma ya mtu awaye yeyote kwa mathila alopitia ili kupata kitu au nafasi kisiasa au kijamii.
Anasonga mbele kuliunganisha Taifa na wenzake walio tayari kwa hilo.
Ni dhahiri mzalendo huyu anaweza kua kitu fulani kikubawa sana nchini Tanzania siku za usoni.
Umustahimilivu wake, Umvumilivu wake, Usikivu wake, Unyenyekevu wake, Subira zake, Kutokukata tama kwake, Kusamehe kwake, kujitolea kwake, Kusamehe kwake, Kutokua mchoyo na kutokua mbinafsi kwake, Utashi na Imani yake kwa Mungu na kwa Tanzania vitamlipa siku si nyingi.
Ni mtu wa kipekee sana na ndie pekee anaweza kuketi chini kujadiliana na kukubaliana wayforward na watesi wake kwa maslahi mapana ya walio wengi.
Keep it Up, stateman Freeman Aikael Mbowe.
Mungu Ibariki Tanzania na Viongozi Wake.