ZIRO
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 896
- 659
Line gani ya kisukuma?Get in line
Line gani ya kisukuma?Get in line
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Hakuna haja ya kutafuta shari,ni wazi kwa kauli ya Raisi maandamano hayo ni batili na yatadhibitiwa kwa nguvu zote.Andamana tuu..ila hakikisha kuna mboga nyumbani kwanza.
We mshamba maisha yameshakushinda ya kutawaza vizee USA sasa umeamuwa kulamba makalio ya watawala ukidhani utapewa shavu, fala sana wewe.Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Subiri tarehe 26 siyo mbali. Wewe na wasukuma wenzako ndio mtajuwa nchi hii ni ya umma na siyo ya wasukuma.Tanzania hakuna anayeweza kuandamana akiona wanajeshi wanafanya usafi pale lugalo barracks nani ataweza andamana
Mbwembwe za watu hapa Bongo ukipiga risasi hewani mchana Posta hakuna atakayebaki ofsini wote ni mbio kuelekea majumbani
Baada ya tarehe 26 tunaanza na Wasukuma.Kwa nini aondoke? Kafanya nini hadi astahili kuondoka?
Muondoeni 2020 kupitia njia ile ile iliyomuweka hapo alipo!
Sasa huyu malaya kwenye forum za wazungu atachangia nini? Au haujui hata mataahira UK wana uwezo wa kuandika kingereza fasaha?wenzako wakina kiranga wako busy kwenye forum za wazungu wewe umejikita kwenye taarabu kama mume wako
Le Mutuz amekaa Marekani miaka 30, achana na mbwa huyo.Eti ndio mtu anaeishi first world lakini mawazo na tabia za third world kweli wewe ni nyani ndani ya zoo za wazungu
Kamueleze tutaandamana, na ni haki ya kikatiba.Wameambiwa kuwa wataenda kusimulia kitu watakachokipata. Wameahidiwa mkong'oto wa maana tu.
Mm habari ninayo.. na nitakuwepo mkuu usihofu.kiukweli sijaona mtu wa kuandamana kwa ajili ya mange kasema! alafu hayo maandamano yatakuwa dar tu?? maana huku mkoani nilipo hata watu hawana habari
Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...Hakuna u-ey yoyote ile.
Kilichopo ni vichwa vyenu vilivyo vigumu tu.
Magufuli nikiona kuna sehemu au jambo kakosea, nitamchana tu. Iwe leo, kesho, keshokutwa, au mtondogoo.
Kwa hiyo hakuna u-ey ya aina yoyote ile. Niliyoyaandika mwaka jana, mwaka juzi, juu ya Magufuli bado yanasimama.
Kama nilisema hafai kuwa rais mwaka jana, hata mwaka huu msimamo wangu bado ni ule ule.
Sasa ni kipi nilichobadilika kuhusu Magufuli?
Nimeshasema wazi humu tena mara lukuki kuwa akipatia sehemu nitampongeza. Akikosea nitamchana.
Vivyo hivyo kwa CHADEMA.
Majuzi tu hapa sikukubaliana naye kuhusu kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo wasichana wanaopata mimba wakiwa shule ya msingi.
So you don’t know whatchu talkin bout!
Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...Halafu mimi wala sijapiga uturn yoyote ile.
Ni hawa nyumbu tu ndo wana vichwa vizito na kumbukumbu fupi sana.
Wanadhani kila mtu kalewa uvyama kama wao.
Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...Sihitaji baraka mimi.
Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...Anhaaa!
Wewe ni independent, siyo?
Independent ndo anakuwaje kwa mfano?
Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...Figments of your imagination!
I equally support ,kama kweli wanaona walifanya makosa yanawagharimu ...2020 sio mbali kwa kuwa hii ni nchi ya Amani and we dont want dark history ......
kama issue wanahisi "sio wa hapa" wanaweza kudhibiti tu ,hata Nchi kama Marekani na nyingine sio siri zote rais ana access nazo ...
Mara nyingine Mimba ikishaingia inabidi usubiri tu kujifungua ......i think they were so obsessed with Edward and they were confident that "stateman" Membe was more popular in the party than John ......and it was true that he was not popular within the party....tatizo Wafuasi wa Edward voted heavily for John ....wakamnyima kura Bernard ...hata January became second because being ex edward member some of the votes especially from youthful NEC members went to him.......and he is well positioned along with benard and other hopeful for future battle.....Edward factor is there because he will soon resign from active politics , though he will remain in his current party still he command good fellowship and his favourite may scoop some symperthy votes in ccm
Wewe unahangaishwa na uongo?Mnajiaminisha uongo!