funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Cheo changu ni kuwasakama dunderheads wanaosaka kiki za msimu.Wakuu mna nyeo gani pale lumumba? Hasa wewe Ngedere utakuwa unafukuzia nafasi ya Slowslow bila shaka!

Wewe cheo chako kinachokupofusha ubongo wako ni usukuma tu!Na sasa imethibitika mmeo ni mrundi, jiandae wewe na mke mwenza Bashite kubadilisha kabila/utaifa!Pale Ufipa wewe na una nyeo gani?
Mbona hamshangai Mbowe anavyopiga u turns kila kukicha?Kasome ulicho andika mwenyewe July 18,2017!
Your u-turn about Magufuli inamshangaza kila mtu!
Kasome ulicho andika mwenyewe July 18,2017!
Your u-turn about Magufuli inamshangaza kila mtu!
Hakuna u-ey yoyote ile.
Kilichopo ni vichwa vyenu vilivyo vigumu tu.
Magufuli nikiona kuna sehemu au jambo kakosea, nitamchana tu. Iwe leo, kesho, keshokutwa, au mtondogoo.
Kwa hiyo hakuna u-ey ya aina yoyote ile. Niliyoyaandika mwaka jana, mwaka juzi, juu ya Magufuli bado yanasimama.
Kama nilisema hafai kuwa rais mwaka jana, hata mwaka huu msimamo wangu bado ni ule ule.
Sasa ni kipi nilichobadilika kuhusu Magufuli?
Nimeshasema wazi humu tena mara lukuki kuwa akipatia sehemu nitampongeza. Akikosea nitamchana.
Vivyo hivyo kwa CHADEMA.
Majuzi tu hapa sikukubaliana naye kuhusu kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo wasichana wanaopata mimba wakiwa shule ya msingi.
So you don’t know whatchu talkin bout!
Kuna watu roho zao zinataka kuacha miili Tareh 26...wanatafuta sababu za vifo vyao...hakuna kifo kisicho na sababu...wamayemwita shujaa....anapigana kwa vidole....yupo kwa pua ndefu kakaa mbali na harudi hapa kamwe.Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Mbona hamshangai Mbowe anavyopiga u turns kila kukicha?
Haya mkuu
Ubarikiwe sana!
Mbona hamshangai Mbowe anavyopiga u turns kila kukicha?
Sihitaji baraka mimi.
Mm ni independent nahoji bila shuruti!
Weka andiko kuhusu Mbowe nitachangia!
Nadhani kwa sasa baraka za CCM hadi unazipigia magoti!
Aibu sana!
nenda kahoji hii hapo chini....Mm ni independent nahoji bila shuruti!
Weka andiko kuhusu Mbowe nitachangia!
Weka namba ya SimuNi mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Huwezi jua alishakutana na nini? Si unajua siku hizi wanasema unapewa hela ama la rinda mtatuko..Tokea uweke akili kando unapost vituko na kujihami tu. Hukuwa hivi mkuu.
WAMELIPWA LAZIMA WAFANYE KAZI KWENYE KEYBOARDWanapenda sana kujipa faraja za kufikirika!