Uoga wa Serikali/CCM

Uoga wa Serikali/CCM

Nimefuatilia na kugundua viongozi wengine ndani ya serikali wamekaa kimya pasipo kukemea uovu huu wa kufanyika kwa maandamano yasiyo halali.
Kwa upande mwingine nailaumu sana serikali kw kutumia nguvu nyingi kuzuia mikutano ya kisiasa ya vyama vingi na inawezekana kabisa haya tunayoshuhudia sasa ni matokeo yake.
Naiasa serikali hata kama hili litapita kuna haja ya kuangalia upya shria inayohalalisha vyama vingi.kufanya shuhuli za kisiasa kwa mujibu wa sheria na ikifaa kuwe na muafaka wa kiasa wa kuwa na siasa za kistaarabu tofauati na hali ilivyo sasa nchi.
 
Kama serikali ya CCM haitaki kusikiliza watu inaowaongoza, watu hawa wakitafuta haki yao ya msingi kabisa "kusikilizwa" kwa njia halali kabisa kuna tatizo gani?
Hivi hawa viongozi wanajua ni kwa jinsi gani wananchi wakawaida na wafanyakazi wa kima cha chini wanavyoteseka? Wakasemee wapi sasa? Nani afikishe kilio chao kwa hao wakubwa waliowapa jukumu la kuwaongoza!

Tufike mahali tuache unafiki! Kwenye ukweli tuseme. Hata mwalimu Nyerere aliwahi kusema "CCM sio Baba yangu wala mama yangu" kwenye ukweli tuseme.
Kama hutaki wananchi wako waandamane kufikisha vilio vyao kwako wewe waliyekupa mamlaka yakuwaongoza tatua matatizo yao! Kwanini uwazuie kudai haki yao wakati unawanyonya.

CCM na utawala wake uache ukatili hii nchi ni ya watanzania sio CCM.
 
Kiukweli wanataka kujipa moyo na matumaini kuwa eti serikali inaogopa kile hao wahuni wanachokifanya nyuma ya keyboards. Serikali ina watu kibao mpaka kwwnye vikao vya chadema nigia, kwa hiyo mipango yote inajulikana. Maamuzi yaliyofikiwa kuwa sasa vijana wao wajaribu kuleta taharuki mitandaoni na kwenye vyombo bya habari yote tunayafahamu. Wanadhani wana intelijensia kubwa kuliko serikali. Nawap pole sana kwa sababu wanahangaika bure kabisa.

..serekali ni mali ya waTz wote.

..vyombo vya intelijensia, ulinzi, na usalama, ni vinaendeshwa kwa kodi za waTz wote, bila kujali wanaunga mkono,.au wanapinga maandamano.

..maandamano ni HAKI ambayo waTz wamepewa KIKATIBA. WaTz wapewe uhuru wa kuitumia au kutoitumia haki hiyo.

..Vyombo vya intelijensia na usalama vijielekeze ktk kuwawezesha wananchi kutumia haki yao ya kuandamana bila kuumizwa, kubugudhiwa, au kuvunja amani.
 
wanatishia waandamanaji maana wanajua wakiandamana na wakawapiga risasi hali itakuwa mbaya zaidi ya hapa. kwahiyo wanaogopa maandamano.
 
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.

Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.

Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.

Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.

Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.

Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.

Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.

Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.

Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.

Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.

Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.

Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Kwenye nchi yetu tuna tatizo saivi. Tuna kiongozi mbovu, mbaguzi na anayevunja umoja wa kitaifa.
Hili ndilo tatizo. Hilo la uoga sijui wa huyu na yule ni upuuzi tu..
Kwa hiyo hii sio hoja. Mi nawapongeza wote wanao address tatizo tulilonalo kwa njia yoyote ile.
Lakini nakuhakikishia hadi 2020 Tz itakuwa ngumu kuliko hata nchi tunazozisuluhisha.
Hata kama April 26, watu wasipoandamana...mbegu iliyopandwa itaota. Wewe ni msomi ila hicho hukioni..
Magufuli hajui anachofanya..
Mimi nilimkampenia mtaani kwangu na ktk magroup mbalimbali ya whatsapp na kwingineko Twitter. Ila ukweli huyu ni wa ovyo na hafai. Aliongoza miezi mitano tu baada ya pale kuna tamaa ilimuingia ni blunders kwa kwenda mbele..

Nilikuwa na muda sija tweet. Juzi nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta 99% ya waliomkampenia Twitter wanamponda balaa.
Rais hutakiwi kuwa chukizo kwa wananchi.
He is too low .. Ana kibri ya hali ya juu.
Nakumbuka alivyomjibu mwanaume mmoja leo huko Geita.. Mtu anaanza kuhutubia halafu mwananchi huyo akawa anatoa karatasi nafikiri kumueleza kero kadhaa.. Rais kumuona anamwambia hayo mpelekee mkeo..mi najua kila kitu..
Ni aibu..

Mi nimekuwepo bandarini kwa muda..na nafahamu ukweli wa maigizo aliyokuwa akiigiza kuuhadaa umma wa watanzania..

Hana value addition yoyote maana analenga popularity yake na anajitengenezea visa tu kumjenga.

Baya zaidi ni hili la kutugawa kwa vyama. Yeye na wakuu wake wa mikoa ndio ma engineer wa huu ubaguzi.. Kina Mnyeti. Makonda. Etc...

Anyway yapo mengi yatatokea juu yake.. Naona yupo tayari kunywa damu za wananchi wake..
Zitamtafuna..
 
Wanasaka kiki kwa kuwa kiki zote dhidi ya Magufuli zimebuma.

RAIS MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA RAIS KIKWETE ,JE NINI TAFSIRI YAKE

Itakumbukwa kuwa barabara hii ilikalimika tangu March 2014 lakini leo imezinduliwa hakika nimeduwaa, Bado natafakari tukio la wasaidizi Wa Rais kuendelea kumpotosha Rais wetu kwa mara nyingine tena,waache huu mchezo mara Moja

Sote ni mashahidi barabara ya Isaka-Ushirombo ilikamilika tangu awamu ya Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ambaye barabara hizi kwa pamoja ilizizindua tarehe Aug 24/2007 wakati anazindua barabara zenye urefu Wa km 169.7 ambazo zilitumia Tzs bill 94.8 pekee tofauti na hesabu inayotolewa leo ya km 132 kwa Tzs bill 163 hesabu ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu,

Je? Kitendo cha Rais Magufuli kuzindua miradi ya mtangulizi wake Mh Jakaya Kikwete mzee Msoga kiboko ya Demokrasia kinatupa mtazamo gani Watanzania? (Sijambo baya kwa kuwa wote ni ccm lakin)

Je nikushindwa kwake kuwa na miradi mipya? Je nikufanyia siasa kazi za mtangulizi wake? Je ni kuwahadaa watanzania kwamba awamu ya Tano inafanya makubwa zaidi ya Serikali zilizopita?

Tutafakari sote..

Rais Jakaya Kikwete Wakati anazindua miradi hiyo alisema maneno yafuatayo naomba kumnukuu

"Barabara ya Ilula -Tinde mkoani Shinyanga na Nzega mkoani Tabora kupitia Tinde hadi Isaka mkoani Shinyanga yenye kilomita 169.7 imegharimu kiasi cha sh. bilioni 94.8 zilizotolewa na wafadhili.

Rais Kikwete alisema serikali imeshaanza mawasiliano na Mfuko wa Abu Dhabi kutoka Falme za Kiarabu kwa ajili ya kupata fedha za ujenzi kwa kiwango cha lami kwa barabara ya Manyoni, Itigi, Tabora, Urambo, Kaliua hadi Kigoma,

aliendelea
kusema "Barabara nyingine ambazo ziko kwenye kiwango cha lami ni Dodoma-Singida (kilomita 245), Singida- Shelui (kilomita 110), Shelui- Nzega (kilomita 108), Nzega- Tinde/Isaka- Shinyanga- Ilula (kilimota 169), Ilula- Mwanza (kilomita 101), Isaka-Kahama- Rusumo/Kobero (kilomita 400) na Minjingu-Babati hadi Singida, na pia barabara ya Namanga hadi Arusha."

Rais Jakaya aliendelea kusema "Hata barabara ya Lindi hadi Mtwara ipo katika hatua nzuri na kwamba ile ahadi iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, John Magufuli ya kusafiri kwa teksi kutoka Mtwara hadi Mwanza iko palepale.

Magufuli sasa ni Waziri wa Ardhi(Wakati huo ambae Leo ni Rais wetu)," Haya ni maneno ya Jk ya tarehe 24/08/2007 saa 8;21 mchana.

Wakati huo huo katika mpango Wa bajeti ya Ujenzi,uchukuzi & Mawasiliano ya mwaka 2016/17 Waziri Wa wizara mpya ya Ujenzi,Uchukuzi & Mawasiliano iliyoanzishwa Nov mwaka 2015 Mh Prof Makame Mbarawa akiwa bungeni alisema maneno yafuatayo naomba kumnukuu

"Mheshimiwa Spika, kuhusu barabara ya
Isaka – Lusahunga – Rusumo (km 392), hadi
Aprili, 2016 hatua ya utekelezaji iliyofikiwa ni
kama ifuatavyo:

(i) Sehemu ya Isaka – Lusahunga (km 242)
Ukarabati wa sehemu ya Isaka – Ushirombo (km
132) ulikamilika Machi, 2014 na kwa sehemu ya
Ushirombo – Lusahunga (km 110) kilometa 54
zimekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami"

Kilichofanyika leo ni mkutano Wa hadhara Wa kisiasa tu ambao wengine hawaruhusiwi huku tukishuhudia Mh Diwani Wa Bugalama (CHADEMA ) akihamia CCM na kututia hasara ya Tzs mil 500,000,000 gharama za kumpata diwani huyu mwaka 2015 na mwaka huu 2018 ambae naamini atapitishwa yeye kugombea tena,

Rais wangu mambo haya hayana afya kwa utangamano Wa Taifa letu lenye mfumo Wa kidemokrasia kwa zaidi ya miaka 26 sasa,

wanaotaka kuja CCM ni wengi na wanatutia hasara nawewe ukaridhia bila kujiuliza kwanini hawakufika pale

kwani sikuona tatizo la nafasi wala uzio mbona hawakuja, hapa wanakuchezea tu

"Tanzania ndio nchi pekee tuliyonayo lazima tuilinde kwa nguvu zote"
"Endeleeni kuniombea"

Alloyce Nyanda.
Mtozi.
Raia Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
 
Kiukweli wanataka kujipa moyo na matumaini kuwa eti serikali inaogopa kile hao wahuni wanachokifanya nyuma ya keyboards. Serikali ina watu kibao mpaka kwwnye vikao vya chadema nigia, kwa hiyo mipango yote inajulikana. Maamuzi yaliyofikiwa kuwa sasa vijana wao wajaribu kuleta taharuki mitandaoni na kwenye vyombo bya habari yote tunayafahamu. Wanadhani wana intelijensia kubwa kuliko serikali. Nawap pole sana kwa sababu wanahangaika bure kabisa.

Intelligence is a two way traffic inahusisha maofisa wa juu wa SERIKALI ., vyombo na hata chama tawala ambao wanavujisha Siri upande wa Pili
Double dealers pia wapo wanaleta matangoo poriii
 
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.

Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.

Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.

Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.

Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.

Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.

Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.

Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.

Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.

Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.

Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.

Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
ndugu, najua uliniambia kuwa umeniweka kwenye ignore list kutokana na ukweli kuwa huwa I tend to put you perfectly in the place that you belong.

MWANASHERIA WA KENYA AMNANGA JPM
 
Kwenye nchi yetu tuna tatizo saivi. Tuna kiongozi mbovu, mbaguzi na anayevunja umoja wa kitaifa.
Hili ndilo tatizo. Hilo la uoga sijui wa huyu na yule ni upuuzi tu..
Kwa hiyo hii sio hoja. Mi nawapongeza wote wanao address tatizo tulilonalo kwa njia yoyote ile.
Lakini nakuhakikishia hadi 2020 Tz itakuwa ngumu kuliko hata nchi tunazozisuluhisha.
Hata kama April 26, watu wasipoandamana...mbegu iliyopandwa itaota. Wewe ni msomi ila hicho hukioni..
Magufuli hajui anachofanya..
Mimi nilimkampenia mtaani kwangu na ktk magroup mbalimbali ya whatsapp na kwingineko Twitter. Ila ukweli huyu ni wa ovyo na hafai. Aliongoza miezi mitano tu baada ya pale kuna tamaa ilimuingia ni blunders kwa kwenda mbele..

Nilikuwa na muda sija tweet. Juzi nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta 99% ya waliomkampenia Twitter wanamponda balaa.
Rais hutakiwi kuwa chukizo kwa wananchi.
He is too low .. Ana kibri ya hali ya juu.
Nakumbuka alivyomjibu mwanaume mmoja leo huko Geita.. Mtu anaanza kuhutubia halafu mwananchi huyo akawa anatoa karatasi nafikiri kumueleza kero kadhaa.. Rais kumuona anamwambia hayo mpelekee mkeo..mi najua kila kitu..
Ni aibu..

Mi nimekuwepo bandarini kwa muda..na nafahamu ukweli wa maigizo aliyokuwa akiigiza kuuhadaa umma wa watanzania..

Hana value addition yoyote maana analenga popularity yake na anajitengenezea visa tu kumjenga.

Baya zaidi ni hili la kutugawa kwa vyama. Yeye na wakuu wake wa mikoa ndio ma engineer wa huu ubaguzi.. Kina Mnyeti. Makonda. Etc...

Anyway yapo mengi yatatokea juu yake.. Naona yupo tayari kunywa damu za wananchi wake..
Zitamtafuna..

Mnyetii mtoto wa shangaziii
 
RAIS MAGUFULI AZINDUA BARABARA YA RAIS KIKWETE ,JE NINI TAFSIRI YAKE

Itakumbukwa kuwa barabara hii ilikalimika tangu March 2014 lakini leo imezinduliwa hakika nimeduwaa, Bado natafakari tukio la wasaidizi Wa Rais kuendelea kumpotosha Rais wetu kwa mara nyingine tena,waache huu mchezo mara Moja

Sote ni mashahidi barabara ya Isaka-Ushirombo ilikamilika tangu awamu ya Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ambaye barabara hizi kwa pamoja ilizizindua tarehe Aug 24/2007 wakati anazindua barabara zenye urefu Wa km 169.7 ambazo zilitumia Tzs bill 94.8 pekee tofauti na hesabu inayotolewa leo ya km 132 kwa Tzs bill 163 hesabu ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu,

Je? Kitendo cha Rais Magufuli kuzindua miradi ya mtangulizi wake Mh Jakaya Kikwete mzee Msoga kiboko ya Demokrasia kinatupa mtazamo gani Watanzania? (Sijambo baya kwa kuwa wote ni ccm lakin)

Je nikushindwa kwake kuwa na miradi mipya? Je nikufanyia siasa kazi za mtangulizi wake? Je ni kuwahadaa watanzania kwamba awamu ya Tano inafanya makubwa zaidi ya Serikali zilizopita?

Tutafakari sote..

Rais Jakaya Kikwete Wakati anazindua miradi hiyo alisema maneno yafuatayo naomba kumnukuu

"Barabara ya Ilula -Tinde mkoani Shinyanga na Nzega mkoani Tabora kupitia Tinde hadi Isaka mkoani Shinyanga yenye kilomita 169.7 imegharimu kiasi cha sh. bilioni 94.8 zilizotolewa na wafadhili.

Rais Kikwete alisema serikali imeshaanza mawasiliano na Mfuko wa Abu Dhabi kutoka Falme za Kiarabu kwa ajili ya kupata fedha za ujenzi kwa kiwango cha lami kwa barabara ya Manyoni, Itigi, Tabora, Urambo, Kaliua hadi Kigoma,

aliendelea
kusema "Barabara nyingine ambazo ziko kwenye kiwango cha lami ni Dodoma-Singida (kilomita 245), Singida- Shelui (kilomita 110), Shelui- Nzega (kilomita 108), Nzega- Tinde/Isaka- Shinyanga- Ilula (kilimota 169), Ilula- Mwanza (kilomita 101), Isaka-Kahama- Rusumo/Kobero (kilomita 400) na Minjingu-Babati hadi Singida, na pia barabara ya Namanga hadi Arusha."

Rais Jakaya aliendelea kusema "Hata barabara ya Lindi hadi Mtwara ipo katika hatua nzuri na kwamba ile ahadi iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, John Magufuli ya kusafiri kwa teksi kutoka Mtwara hadi Mwanza iko palepale.

Magufuli sasa ni Waziri wa Ardhi(Wakati huo ambae Leo ni Rais wetu)," Haya ni maneno ya Jk ya tarehe 24/08/2007 saa 8;21 mchana.

Wakati huo huo katika mpango Wa bajeti ya Ujenzi,uchukuzi & Mawasiliano ya mwaka 2016/17 Waziri Wa wizara mpya ya Ujenzi,Uchukuzi & Mawasiliano iliyoanzishwa Nov mwaka 2015 Mh Prof Makame Mbarawa akiwa bungeni alisema maneno yafuatayo naomba kumnukuu

"Mheshimiwa Spika, kuhusu barabara ya
Isaka – Lusahunga – Rusumo (km 392), hadi
Aprili, 2016 hatua ya utekelezaji iliyofikiwa ni
kama ifuatavyo:

(i) Sehemu ya Isaka – Lusahunga (km 242)
Ukarabati wa sehemu ya Isaka – Ushirombo (km
132) ulikamilika Machi, 2014 na kwa sehemu ya
Ushirombo – Lusahunga (km 110) kilometa 54
zimekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami"

Kilichofanyika leo ni mkutano Wa hadhara Wa kisiasa tu ambao wengine hawaruhusiwi huku tukishuhudia Mh Diwani Wa Bugalama (CHADEMA ) akihamia CCM na kututia hasara ya Tzs mil 500,000,000 gharama za kumpata diwani huyu mwaka 2015 na mwaka huu 2018 ambae naamini atapitishwa yeye kugombea tena,

Rais wangu mambo haya hayana afya kwa utangamano Wa Taifa letu lenye mfumo Wa kidemokrasia kwa zaidi ya miaka 26 sasa,

wanaotaka kuja CCM ni wengi na wanatutia hasara nawewe ukaridhia bila kujiuliza kwanini hawakufika pale

kwani sikuona tatizo la nafasi wala uzio mbona hawakuja, hapa wanakuchezea tu

"Tanzania ndio nchi pekee tuliyonayo lazima tuilinde kwa nguvu zote"
"Endeleeni kuniombea"

Alloyce Nyanda.
Mtozi.
Raia Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Ukiona hivyo hizo bilioni 132kashapeleka kwaoooo ...atatuletea vita Huyu
Anarudiaaa rudiaaa
 
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.

Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.

Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.

Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.

Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.

Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.

Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.

Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.

Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.

Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.

Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.

Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Msukuma bwege nakuona
 
Tokea uweke akili kando unapost vituko na kujihami tu. Hukuwa hivi mkuu.

Post za huyu jamaa siku hizi hazina kichwa wala miguu, amejikuta amejitoa ufahama anawaza kibashite. Kweli kujua lugha ya malkia sio kufaulu mitihani. Hata bashite anajitahidi kutema yai lazkn n likilaza tu lilitumia nyeti vya watu.
Mkiitwa shitholes mnabisha. Soma vizuri bandiko lako next time tafakari nafasi,heshima yako..usikubali tena kshikiwa akili na bashite.
 
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.

Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.

Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.

Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.

Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.

Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.

Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.

Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.

Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.

Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.

Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.

Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Sawa msemaji wa serikali, tumekuelewa. Serikali haiogopi
 
Endelea kunifuatilia.

I’m your superior.
Umevua ueledi umejivika ujinga. Unajihisi your superior to others .
Yan ni kama teje anapokuwa amebwia unga anahisi dunia yote yake,hajitambui kama yuko baabaani anatoka udenda huku watu wanamcheka, yy anajihish mmoja wa matajiri wa dunia.
Ndicho kinachokusibu ww kwa sasa, ccm imeshakulevya, umevua ueledi umeuvamia ujinga tena umeamua kuukumbatia na kuuishi kama ndugu yako polepole.
 
Teh teh

Get in line.
 
Back
Top Bottom