Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,231
Uzi una mavi huu
Ameelewa 26/04Umeelewa ulichokisoma?
Nakumbuka magufuli alisema hafuatilii habari za mitandaoni na wala hawezi kuzijibu....So kipi kimebadilika mpk anamjibu Mange....maani ni habari za mitandaoni tu hizo.Wanapenda sana kujipa faraja za kufikirika!
Ha ha ha hawawwzi kujaribu hiki kitu. Hawana uhakika itakuwaje plus utashangaa nchi nzima inaingia road. So ile zana kuwa ninapendwa itapotea....na si wajua anavyopenda sifaHivi wakiwaacha waandamane na kuwapa ulinzi kuona wanaelekea wapi na wanamaliza maandamano kwa amani kuna tatizo? I think tunatumia nguvu nyingi kuwazuia kuliko kuwaacha
Hao ccm wamshaanza kujuta na wanasaga meno. Na hii movement ya 26 sidhani ni ya Mange peke yake hii ni movement within gvt officials wakishirikiana na huyo dada (mawazo yangu tu) na ndio maana vigogo wamepaniki maana hawajui nani wakumuamini.....hawako sure kama kweli jeshi litakubali kupiga raia thats why ndio maana wanahangaika na vitisho kama wangekuwa na uhakika wa 100% kuwa jeshi litaua na kumwaga vichwa vya watu ubongo then wala hasingeongelea lolote. Kama amabvyo anajua polisi hawawezi kumkamata aliyempiga risasi Lisu ndio maana wala hana time na habari za lisu...mhutu amejaa woga....anaona status ya utanzania wake inaweza kuja kuhojiwa pia....kuna mambo ya hovyo ccm wameyafanya nchi hii...lakini hakuna jambo la hovyo kama kumweka mhutu madarakani.....iko siku haya mambo watakuja kujilaumu wao wenyewe na kuadhibiana.....
...hili la maandamano limemtia mhutu kiwewe...na hili wala halipingiki....maana wameanza vitisho kupitia vibaraka wao wote...kuanzia bashite hadi vikaragosi wa jeshi la Polisi....hii yote ni hofu ya kupoteza mkate wanaokula pamoja kwa dhulma....
....mwanaume ni Uhuru kenyata ambae hakutoa neno wala woga pale raila alipojiapisha.....na hata leo wameshikana mikono na kufanya reconciliation.... Sasa sipati picha mhutu wetu ambavyo angeua RAIA kama wapinzani wangejiapisha pale alipopora ushindi wao....tz tuko na shida kubwa.....nchi imetiwa najisi hii na watu nyerere aliowaachia nchi.....karma...karma...karma.....
...
Nakumbuka magufuli alisema hafuatilii habari za mitandaoni na wala hawezi kuzijibu....So kipi kimebadilika mpk anamjibu Mange....maani ni habari za mitandaoni tu hizo.
Kwani maandamano anayoyapiga marufuku yameandaliwa na nani?? Au ndo wanaona aibu kutaja jinaLini Magu kamjibu huyo majinuni?
Kwani maandamano anayoyapiga marufuku yameandaliwa na nani?? Au ndo wanaona aibu kutaja jina
Uchochezi mkuuNi mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Hivi wakiwaacha waandamane na kuwapa ulinzi kuona wanaelekea wapi na wanamaliza maandamano kwa amani kuna tatizo? I think tunatumia nguvu nyingi kuwazuia kuliko kuwaacha
Wanasaka kiki kwa kuwa kiki zote dhidi ya Magufuli zimebuma.
Wakuu mna nyeo gani pale lumumba? Hasa wewe Ngedere utakuwa unafukuzia nafasi ya Slowslow bila shaka!Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Kanda pendwa mmeamua kujitoa ufahamu!Naona wewe na Bashite mbapigania bwana mmoja tena mrundi!Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.
Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.
Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.
Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.
Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.
Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.
Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.
Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.
Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.
Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.
Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.
Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
Kuna mwanasheria mmoja wa Kenya, nchi inayoongozwa na raisi mwenye akili kasema huyo mmeo Pogba anafaa kuwa nyapara wa kijiji!Kama wanaume wazima waliwaogopa Panya road seuze polisi wa Magufuli?
Ahahahahaaa.
Wakuu mna nyeo gani pale lumumba? Hasa wewe Ngedere utakuwa unafukuzia nafasi ya Slowslow bila shaka!
Aliwekwa na jaji Lubuva wala si njia nyingine yeyote!Kwa nini aondoke? Kafanya nini hadi astahili kuondoka?
Muondoeni 2020 kupitia njia ile ile iliyomuweka hapo alipo!
Kasome ulicho andika mwenyewe July 18,2017!Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.