Uoga wa Serikali/CCM

Uoga wa Serikali/CCM

nilicheka pale niliposikia eti , tumewakabidhi serikali washamba wa siasa , nilichoka sana ndio kama haya yanayoendelea leo

washmba bado wanasimulia vilevile vya kale vya mkoloni na ukoloni ule wa kishamba.
 
Hapo kwenye lugha naweza kubaliana nawe.
Tanzania hakuna anayeweza kuandamana akiona wanajeshi wanafanya usafi pale lugalo barracks nani ataweza andamana

Mbwembwe za watu hapa Bongo ukipiga risasi hewani mchana Posta hakuna atakayebaki ofsini wote ni mbio kuelekea majumbani
 
Kama wanaume wazima waliwaogopa Panya road seuze polisi wa Magufuli?

Ahahahahaaa.
 
Hamna kiongozi mwenye akili ambaye haogopi maandamano.
Maandamano yameondoa viongozi wengi sana duniani. Kuanzia French Revolution hadi the Latest Historical Events kama Arab Spring ni ushahidi tosha kuhusu nguvu ya maandamano.

Sio kosa wala maajabu kwa kiongozi kuogopa maandamano ya wananchi waliomchagua. Ni sawa uchaguliwe na Board kuwa CEO wa kampuni flani na baadaye kidogo shareholders waanze kuhoji mienendo yako. Wewe kama MD mwenye akili lazima uwe na hofu na kutengeneza mikakati ya kurekebisha concerns zao.

Of course lazima waogope na wana haki ya kuogopa sio kitu cha ajabu wala cha kushangaza.
 
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.

Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.

Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.

Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.

Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.

Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.

Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.

Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.

Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.

Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.

Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.

Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.

CCM inaogopaje wakati archtect wa maandamano na mipango mingine miongoni mwao ni hao hao .........katika madai ya waandamanaji ushaona waliposema
CCM iondoke
Samia aondoke
au
Majaliwa aondoke ??

wanataka tu aondoke FARU na genge lake !!
 
Kwa nini aondoke? Kafanya nini hadi astahili kuondoka?

Muondoeni 2020 kupitia njia ile ile iliyomuweka hapo alipo!
 
wanasema anauwa chama ....na walifanya makosa in the fist place ...hawakuwa makini kwenye vetting and they were taken by suprise becuase of lowassa stuff ...they blame it as failure of intelligence ,..within the party and national level [state]
katika watu hatari kwake kwa sasa ni hao hao ....
 
Hahaha

Well, 2020 siyo mbali.

Jipangeni vizuri tu.
 
I equally support ,kama kweli wanaona walifanya makosa yanawagharimu ...2020 sio mbali kwa kuwa hii ni nchi ya Amani and we dont want dark history ......
kama issue wanahisi "sio wa hapa" wanaweza kudhibiti tu ,hata Nchi kama Marekani na nyingine sio siri zote rais ana access nazo ...
Mara nyingine Mimba ikishaingia inabidi usubiri tu kujifungua ......i think they were so obsessed with Edward and they were confident that "stateman" Membe was more popular in the party than John ......and it was true that he was not popular within the party....tatizo Wafuasi wa Edward voted heavily for John ....wakamnyima kura Bernard ...hata January became second because being ex edward member some of the votes especially from youthful NEC members went to him.......and he is well positioned along with benard and other hopeful for future battle.....Edward factor is there because he will soon resign from active politics , though he will remain in his current party still he command good fellowship and his favourite may scoop some symperthy votes in ccm
 
naomba unijibu ktk hi vp km yale yaliyotokea kwa ditopile yangetokea kwa bashite afanye km alivyofanya ditopile je sizonje angechukua hatua za sheria km alivyochukua jk?fananisha na tukio la clauds media plus takukuru kwa nyeti
 
Katika ubora wako. Samahani Mkuu wewe ndiye Julius Magembe au mwingine?

Tungejadili hoja, ingefaa sana mkuu. Huko kwingine tutajikuta tunakiuka hata taratibu na kanuni za JF.
 
CCM waoga..maana hata majeshini wapo wenye kuunga mkono upinzani...wanasubiri kiwake mtajikuta wahutu mmebaki wawili
 
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.

Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.

Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.

Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.

Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.

Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.

Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.

Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.

Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.

Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.

Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.

Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.

Ha ha haaaa! Hongereni mashabiki wa Man U kwa ushindi wa 2 - 1 dhidi ya Liverpool.
Kwa hiyo ndugu tumbili umaanisha bwana yohana ni mtu wa trivialities?
 
Back
Top Bottom