Uoga wa Serikali/CCM

Uoga wa Serikali/CCM

Ki mtazamo Tanzania hatuna wanasiasa wenye mlengo wa kumkomboa mwananchi bali kuna wanasiasa wanaotumia shida za wananchi kujinufaisha kisiasa na kimaslahi......malengo hayo hutimia kutokana na aina hii ya wananchi walio achana na matumizi ya kilichomo vichwani mwao....bali kutumia hisia......

Na ndio maana wengi wao hawatendi wanachohubiri na kukipigania....uhuru na demokrasia hukomaa endapo tu mtu atatoka chama tawala na kuenda upinzani na kinyume chake si demokrasia.....

Ukihoji mambo ya upinzani haionekani kama ni demokrasia bali umetumwa na chama tawala.....kwa wao uhuru wa kujieleza na kutoa maoni ni kuikosoa serikali tu na sio kuwakosoa........
Watu kama hao hawana mantiki wala sifa ya kupigania demokrasia Kwani hata wao wenyewe hawaamini kwenye demokrasia......
 
kiukweli sijaona mtu wa kuandamana kwa ajili ya mange kasema! alafu hayo maandamano yatakuwa dar tu?? maana huku mkoani nilipo hata watu hawana habari
 
kiukweli sijaona mtu wa kuandamana kwa ajili ya mange kasema! alafu hayo maandamano yatakuwa dar tu?? maana huku mkoani nilipo hata watu hawana habari
Maandamano yapo kwenye hisia na mihemko lakini haya kuwepo kwenye uhalisia...na kadri siku zinavyoenda na hisia na mihemko inavyopotea ndivyo maandamano yatakapoonekana hayana maana baada ya watu kurejewa na fahamu zao.....
 
Ni mara kadhaa sasa nimeona na kusikia watu wakisema kuwa eti serikali inaogopa.

Kwamba inaogopa maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Aprili.

Watu wasemao hivyo wanasema hivyo kwa sababu wamejiaminisha kuwa kama serikali ingekuwa haiyaogopi hayo maandamano basi baadhi ya viongozi wasingeyazungumzia hata kidogo.

Si ajabu hata hapa atajitokeza mtu atayesema kuwa hata mimi nayaogopa hayo maandamano na ndo maana nimeanzisha tena uzi unaoyahusu.

Sasa jana rais Magufuli naye kazungumzia watu kuandamana. Na si mara yake ya kwanza kufanya hivyo. Keshafanya hivyo mara kadhaa huko nyuma.

Magufuli kutaja neno ‘maandamano’ hiyo jana imekuwa nongwa. Watu wanataka kutuaminisha kwamba hayo maneno ya mitandaoni huko kuhusu hayo maandamano yanamnyima raha na usingizi rais kwa sababu mpaka yeye kayazungumzia hiyo jana.

Mimi sidhani kama serikali inaogopa. Ninachokiona ni serikali yenye watu wanaojua na kutambua kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii. Kujua na kutambua huko si uoga. Si kuogopa.

Kuogopa ni pale ambapo wale waliokuwa wanapiga sana kelele za maandamano kutokujitokeza na kuandamana siku ambayo walikuwa wamepanga kuandamana. Huo ndo uoga na huko ndo kuogopa.

Maana tayari wameshaambiwa ole wao waandamane. Wataenda kusimulia yatayowapata. Sasa siku ya siku ikifika na hakuna anayeingia barabarani, huko ndo kuogopa.

Lakini mtu kusema kuwa kasikia kuna watu wamepanga kuandamana au Ngabu kuja kuanzisha nyuzi hapa kuhusu hayo maandamano, sioni uoga hapo.

Kwa hiyo, mimi nadhani na naamini kuwa wote wasemao kuwa serikali inaogopa wanasema hivyo kujipa faraja tu.

Wanajiaminisha kuwa serikali inaogopa ili wajisikie vizuri tu. Wajione na wao kelele zao dhidi ya serikali zina athari ingawa kiuhalisia sivyo hivyo.
amii ii shemeji yetu yule aliyekuoa japo mnafanana jinsia huko kwa trump yule babu kizee hajambo? amii huku nyumbani shaka s.shaka naye kaolewa na saleh mpelembwe huko tanga . amii umeandika uharo. nakujibu.....
kitendo cha raisi wa nchi kusimama na kuzungumzia maandamano yasiyokuwa na kiongozi ni uoga huo... kiswahili cha kawaida anaogopa kivuli chake.
amii yahe jana watu walikohoa.. hapo mwanzo mlisema mange hana impact.. ami wakuu wote wamekohoa na wanahaha.
amii liambie lile li bashite maandamano yapo hata yasipokuwepo yamefanikiwa
msalimie shemeji yetu
 
Hivi wakiwaacha waandamane na kuwapa ulinzi kuona wanaelekea wapi na wanamaliza maandamano kwa amani kuna tatizo? I think tunatumia nguvu nyingi kuwazuia kuliko kuwaacha
Yaani uache wapuuzi wafanye upuuzi wao!!
Haiwezi kubarika
 
Umeelewa ulichokisoma?
Sio Makufuli pekee kuonyesha hofu ya maandamano yanayo ratibiwa na "Dada wa Taifa"
Walionyesha hofu ni pamoja na;
Simon Sirro
Nsanto Marijani
Mambosasa
Paul Makonda
Katibu UVCCM
Mwenyekiti UWT CCM
Polepole
 
Kiukweli wanataka kujipa moyo na matumaini kuwa eti serikali inaogopa kile hao wahuni wanachokifanya nyuma ya keyboards. Serikali ina watu kibao mpaka kwwnye vikao vya chadema nigia, kwa hiyo mipango yote inajulikana. Maamuzi yaliyofikiwa kuwa sasa vijana wao wajaribu kuleta taharuki mitandaoni na kwenye vyombo bya habari yote tunayafahamu. Wanadhani wana intelijensia kubwa kuliko serikali. Nawap pole sana kwa sababu wanahangaika bure kabisa.
 
..kinachonishangaza ni lugha ya CHUKI, VITISHO, na UKATILI inayotumiwa na viongozi.

..inawezekana viongozi hawaogopi maandamano, lakini lugha wanazotumia zinaacha maswali mengi na kusababisha wananchi watoe kila aina ya tafsiri ikiwemo KUOGOPA maandamano.
hapo ndipo shida ipo, mkuu. chuki, vitisho na ukatili ni viashiria vya UOGA.

the govt (the top brass in particular) has been gripped with unspeakably fearsome fear - there's no question about that. and that's all down to the atrocities it is committing against its own people.

embu msome huyu mwanafalsafa hapa chini.....

Quote
"As humans, we can have hundreds of emotions. However, it has been discovered that the human face tends to just flash seven - happy, sad, anger, surprise, fear, contempt and disgust.

When the human face shows an emotion, it flashes it for less than a fifth of second so you have to be quick. We call these micro expressions.

When assessing someone I’m looking at how body language is working alongside what is being said and how they are saying it."
Unquote.
 
Kwani anayeishi first world anatakiwa awe na mawazo gani....!!?
Wananchi wahamasishane kuandamana kuipinga serikali halafu Rais wa Marekani atoe maneno ya kijinga kama aliyotoa dikteta huyu uchwara...thubutu! Je umenipata?

Hata kwa jirani zetu Raila aliposema anaenda kuapishwa kuwa Rais wa wananchi, Rais wa nchi hiyo hakuhangaika, kutishika wala kutoa vitisho kama huyu Mhutu wetu! Je unanipata?

Hii sinema tunayoishuhudia hapa ni nini kama si woga na kutojiamini. Mara IGP, mara CDF, mara Bashite...yaani viti walivyokalia ni kama vile vinawaka moto! Je unanipata?

Je umejiuliza kama hao wanategemea kuwapiga, kuwajeruhi na hata kuwaua ndugu zao na Watanzania wenzao wakigoma? Si itakuwa ni patashika ya kutafuta pa kujificha! Je umenipata?

Na huo ndio woga tunaousema kwani imewahi kutokea. Angalia siku hiyo ikikaribia, licha ya kuimarishiwa ulinzi, watakavyopigana vikumbo wakitafuta pa kujificha! Je unanipata?

Hitler alijificha kwenye handaki chini ya nyumba, Saddam alijificha shimoni (shimo la panya), Gaddafi alijificha mferejini mfereji wa maji machafu). Sijui wa kwetu atajificha wapi!

Hao watu walikuwa akitoa kauli hakuna hata panya anayekohoa, walikuwa na majeshi yenye nguvu na walilindwa na matenki ya vita lakini siku ya siku ilipofika, masikini! Je unanipata?
 
Zimabaki siku ngapi kwani katika Count Down?
 
..mhutu amejaa woga....anaona status ya utanzania wake inaweza kuja kuhojiwa pia....kuna mambo ya hovyo ccm wameyafanya nchi hii...lakini hakuna jambo la hovyo kama kumweka mhutu madarakani.....iko siku haya mambo watakuja kujilaumu wao wenyewe na kuadhibiana.....

...hili la maandamano limemtia mhutu kiwewe...na hili wala halipingiki....maana wameanza vitisho kupitia vibaraka wao wote...kuanzia bashite hadi vikaragosi wa jeshi la Polisi....hii yote ni hofu ya kupoteza mkate wanaokula pamoja kwa dhulma....

....mwanaume ni Uhuru kenyata ambae hakutoa neno wala woga pale raila alipojiapisha.....na hata leo wameshikana mikono na kufanya reconciliation.... Sasa sipati picha mhutu wetu ambavyo angeua RAIA kama wapinzani wangejiapisha pale alipopora ushindi wao....tz tuko na shida kubwa.....nchi imetiwa najisi hii na watu nyerere aliowaachia nchi.....karma...karma...karma.....

...
 
Back
Top Bottom