Watasema kuna miradi wameanzisha tuwape muda wakamilishe ili tuwe donor country rasmi by 2025.Hawajawahi kukosa slogans za kuwahadaa Wananchi, wakiona mnazingua Wananchi apua sanduku LA kura halafu wanajitangaza kushinda kwa kishindo.Kweli siku hazigandi 2020 hii hapa hakuna cha maendeleo wala nini zaidi ya raia kunung'unika tu hali mbaya mifukoni sasa sijui watakuja na ajenda gani tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwepo wakati wanamnadi MTU wao,waliwahi kusema wapinzani watakosa hoja za kuwaambia Wananchi 2020's General Election?
Sent using Jamii Forums mobile app