Uchaguzi 2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata

Ila MaCCM nao kwa kweli, akili zao azina akili, mtu mwenye roho ya kichawi anawezaje kutuletea maendeleo kama Taifa. Hali ni mbaya sana mtaani.
Sana sana ndio haya yanayo tokea ataua na kuteka watu muhimu kwake aogopwe na abudiwe.
 
Hakika !
 
Bado najiuliza mwenyewe ile/hii nguvu kubwa ya kusajili line kwa alama za vidole ni ya nini? Kuna under 18 amesajiliwa line na alisema miala yake halisi? Baadhi walikataliwa, je kwanini people wanye umri usioruhusiwa kisheria kupiga kura wazuiwe? Nawaza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte,

Duh wewe mkaleeee... akiiisoma mkulu, wasiojulikana na mwenzao Bashite asubui tu wataku@@@@@ Tip tip 🔭🔭🔭
 
serikali ya viwanda 😃😃..viwanda vimebaki kuwa imagination tu....vimebaki kwenye makaratasi
 
wapinzani mnapata shida sana kwanini? mada ni zile zile kila siku hamchoki?
 
wapinzani mnapata shida sana kwanini? mada ni zile zile kila siku hamchoki?
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Back
Top Bottom