Uchaguzi 2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata

Kweli siku hazigandi 2020 hii hapa hakuna cha maendeleo wala nini zaidi ya raia kunung'unika tu hali mbaya mifukoni sasa sijui watakuja na ajenda gani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Watasema kuna miradi wameanzisha tuwape muda wakamilishe ili tuwe donor country rasmi by 2025.Hawajawahi kukosa slogans za kuwahadaa Wananchi, wakiona mnazingua Wananchi apua sanduku LA kura halafu wanajitangaza kushinda kwa kishindo.
Ulikuwepo wakati wanamnadi MTU wao,waliwahi kusema wapinzani watakosa hoja za kuwaambia Wananchi 2020's General Election?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali ya viwanda ..viwanda vimebaki kuwa imagination tu....vimebaki kwenye makaratasi
Viwanda vinajijenga vyenyewe as a product of huge production of raw materials.Hivi walivyokuwa wanahubiri kina Mwijage vilikuwa day dreams viwanda.Usiwaamini hawa watu,wasemacho siyo halisi ni propaganda tu.
Nchi ya viwanda watu wake wanakufa njaa?Watoto hawana madarasa,madawati,vifaa vya kujifunzia,waalimu bora nk.
We are among World Wonders!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisema Siasa zifanyike wakati wa kampeni. Kwahiyo 2020 ni mpaka tume itakapotangaza muda wa kampeni. Sio tu ikiingia 2020.

Kuweni na subira. Kampeni bado.
 
Kwani siasa ni kampeni ? kampeni ni sehemu ndogo mno ya siasa , endeleeni kumpaka mafuta ila siku akiwekwa goligota msimlaumu mtu
 
Yeye kakataza siasa za kampeni. Unatoka jimbo A kwenda kupiga domo jimbo B. Jimboni kwako utafanya kazi saa ngapi?

Siasa nyingine zinafanyika mbona na tunaziona? Wanasiasa wamekutana na kuweka maazimio mara ngapi? Press zinafanyika mara ngapi?

Siasa za ulaghai jiwe kazikataa. Fanyeni za kistaarabu kama mlivyoelekezwa. Kama hamuwezi, suseni.
 
Katiba ya Tanzania haijaandika kama huu ujinga uliotuwekea hapa , nyie endeleeni kuisigina katiba ya nchi , malipo yenu yanakuja
 
Rais ameshapewa mamlaka na hiyo katiba kufanya lolote atakalojisikia kufanya bila kushitakiwa. Hoja yako ni nini?
 
so sad
Viwanda vinajijenga vyenyewe as a product of huge production of raw materials.Hivi walivyokuwa wanahubiri kina Mwijage vilikuwa day dreams viwanda.Usiwaamini hawa watu,wasemacho siyo halisi ni propaganda tu.
Nchi ya viwanda watu wake wanakufa njaa?Watoto hawana madarasa,madawati,vifaa vya kujifunzia,waalimu bora nk.
We are among World Wonders!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwanda vinajijenga vyenyewe as a product of huge production of raw materials.Hivi walivyokuwa wanahubiri kina Mwijage vilikuwa day dreams viwanda.Usiwaamini hawa watu,wasemacho siyo halisi ni propaganda tu.
Nchi ya viwanda watu wake wanakufa njaa?Watoto hawana madarasa,madawati,vifaa vya kujifunzia,waalimu bora nk.
We are among World Wonders!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahio wewe ujenzi wa taifa ni serikali? Taifa linajengwa 90% na wananchi wenyewe serikali yake Sera tu na environment, we unadhan keyboard unayotumia kuandika apo ilitengenezwa na serikali ama wananchi waliojituma? Magari unayopanda je? Unaona jinsi gan ulivo poor mpaka akili
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom