Uchaguzi 2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata

Hivi kabla ya 2015 kulikuwa na waajiriwa SGR, BWAWA LA UMEME, MFUGALE BRIDGE, UBUNGO INTERCHANGE, DALAJA JIPYA LA SARENDA, UJENZI WA VYELEZO NA MELI, UJENZI WA MAKAO MAKUU DODOMA NA IKULU, NGEGE (mainjinia, marubani, maatendants, wakata tiketi, food suppliers etc), ujenzi wa mahospital na mashule; to mention but a few. Ajira gani unasemea?

(Majina ya Polisi wote waliotumika tunayo)
Utayafanyia nini? Hii ni miaka mitano tangu uwe nayo umeyatumiaje?

Au wewe ni CCM unatikisa kiberiti ili ujuwe unakubalikaje? Na hisi ni kweli.
Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri wa ujenzi alikuwa anasimamia nini ?
 
Hata kama Kampeni zitakuwa siku 7 tu , CCM itavuna Mabua .
 
Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
Hivi kabla ya 2015 kulikuwa na waajiriwa SGR, BWAWA LA UMEME, MFUGALE BRIDGE, UBUNGO INTERCHANGE, DALAJA JIPYA LA SARENDA, UJENZI WA VYELEZO NA MELI, UJENZI WA MAKAO MAKUU DODOMA NA IKULU, NGEGE (mainjinia, marubani, maatendants, wakata tiketi, food suppliers etc), ujenzi wa mahospital na mashule; to mention but a few. Ajira gani unasemea?
Hapa san sanaSerikali imeongeza matumizi makubwa ya serikali, na hukuisaidia serikali kuongeza ajira, ni msaada mdogo mno kwa Raia, pamoja na Umuhimu wa Miradi kama ile ya Umeme, Madaraja ya kuvushia magari, na Vivuko lakini Ujenzi hauakisi ongezeko la mapato na Ajira.
Nchi inafilisika
watu wanabobea kwenye Umasikini.
Any way
Mleta mada anamlaumu Msajili wa Vyama ,kwanini kaufyata? wakati vyama havifanyi siasa kama ilivyotarajiwa ili vikuwe na kujijenga?
 
Swadakta
 
Pamoja na hayo lakini kampeni ndio inaishia ishia hivyo siku nyingi nishasema huku hadi uzi nikaleta kuwa hii midmradi inayozinduliwa na kamoeni inapigwa hapo hapo
 
Ili kuhalalisha uvunjifu wa Katiba ya nchi, Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli alinukuliwa akitoa marufuku ya shughuli za kisiasa kwa kisingizio dhaifu cha kuleta maendeleo na kwamba wenye hamu ya kufanya siasa wasubiri mwaka wa uchaguzi 2020, Polisi wakadaka amri hiyo haramu kama kifanyavyo kidaka tonge kwenye chakula , wanasiasa waliojaribu kupinga amri hiyo haramu wakakamatwa, wakapigwa, wakateswa na baadaye kuswekwa lupango na kisha kufunguliwa kesi za kizushi na kufungwa jela, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kusini Mh Suleiman Methew ni miongoni mwa wanasiasa waliofungwa kwa vile walifanya mikutano kinyume cha katazo la Magufuli (Majina ya Polisi wote waliotumika tunayo)

Kama wasemavyo Wahenga, Usiku wa deni hauchelewi kwisha, basi ndicho kilichotokea, 2020 imefika na bado waliosema tuisubiri wanaogopa kuruhusu mikutano ya hadhara, wanaomba siku zirudi nyuma lakini haiwezekani, hawajui cha kufanya na wamekwama, kile kilichoitwa kuzuia siasa ili kuleta maendeleo hakipo, bali ifahamike kwamba badala ya maendeleo hali ya kiuchumi imekuwa mbaya zaidi, hakuna ajira kwa miaka yote minne, wala hakuna nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wachache wasiozidi laki 6 wa serikali, hali ni mbaya hata kuliko kabla ya zuio la mikutano.

Hata hivyo wananchi wametambua kwamba kukataza siasa haikuwa sababu ya maendeleo bali ulikuwa uoga wa Mwenyekiti wa CCM ambaye alikuwa hana ajenda ya kuwaambia wananchi baada ya kuingia ikulu Kibahati .

Itaendelea...
Majina ya hao madhalimu tuyapate tafadhali, tunaandaa salam
 
Back
Top Bottom