Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,756
- 40,930
Jeshi la Polisi limesema kuwa unga unga uliokutwa kwenye baadhi ya viti vya Wabunge wiki iliyopita baada ya Mhe. Chenge kuvipitia "akitafuta mahali pa kukaa" utapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa serikali Jijini Dar kwa uchunguzi zaidi. Hayo yamesemwa na Jeshi la Polisi leo na wameahidi kuwa matokeo ya uchunguzi huo yatatangazwa mara moja.
My Take:
Pelekeni Scotland Yard...!!
My Take:
Pelekeni Scotland Yard...!!