Polisi kufuatilia kifo cha mwanafunzi wa udom inayesemekana kauliwa

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Jeshi la Polisi Tanzania limesema limeona mjadala mitandaoni kuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Nusura Hassan Abdallah kilichotokea Mkoani Kilimanjaro ambapo taarifa hizo zimekuwa zikihusisha kifo hicho na ajali iliyotokea Jijini Dodoma ikimhusisha Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange lakini pia taarifa nyingine zinadai kifo chake kimetokana na kipigo kutoka kwa Mpenzi wake ambapo Polisi wamesema wameanza uchunguzi kuhusu taarifa hizo.

Akitoa taarifa hiyo leo May 06,2023, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuona taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na sababu zinazotolewa, wameshaanza uchunguzi kwa Watu mbalimbali, Hospitali alikotibiwa Binti huyo ambapo na wanashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa haki jinai”

Aidha Jeshi hilo limetoa wito kwa Mtu yeyote mwenye taarifa zilizosahihi na zenye ukweli asisite kuwapa Polisi taarifa hizo ili kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo.

“Uchunguzi wa tukio hilo ukikamilika taarifa kamili ya kilichobainika itatolewa kwa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Nchi”

#MillardAyoUPDATES
 
Hii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!

Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
police ilibidi wajue kila kitu kabla ya wote kwani kila kitu kilipitia kwao kwani kabla hajatibiwa marehemu alikua na pf3 na ajali ilipotokea wapimaji wote ni trafic why leo warudi ka raia ?
 
Hii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!

Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
Hapo Wanapoteza Muda Wao Bure, Kumbe Jambo Lipo Hivyo
Tunasema Lipo Wazi Kama Mkia Wa Mbuzi Vile Ulivyo
Basi Watahangaika Baadaye Watakuja Na Lipi Jipya
 
Jeshi la Polisi Tanzania limesema limeona mjadala mitandaoni kuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Nusura Hassan Abdallah kilichotokea Mkoani Kilimanjaro ambapo taarifa hizo zimekuwa zikihusisha kifo hicho na ajali iliyotokea Jijini Dodoma ikimhusisha Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange lakini pia taarifa nyingine zinadai kifo chake kimetokana na kipigo kutoka kwa Mpenzi wake ambapo Polisi wamesema wameanza uchunguzi kuhusu taarifa hizo.

Akitoa taarifa hiyo leo May 06,2023, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuona taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na sababu zinazotolewa, wameshaanza uchunguzi kwa Watu mbalimbali, Hospitali alikotibiwa Binti huyo ambapo na wanashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa haki jinai”

Aidha Jeshi hilo limetoa wito kwa Mtu yeyote mwenye taarifa zilizosahihi na zenye ukweli asisite kuwapa Polisi taarifa hizo ili kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo.

“Uchunguzi wa tukio hilo ukikamilika taarifa kamili ya kilichobainika itatolewa kwa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Nchi”

#MillardAyoUPDATES
Wamekwepa kuhusu ajali!
 
Hii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!

Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
Peleka taarifa Jeshi la Polisi.
 
Hii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!

Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
Hivi kwanini wanamtetea Huwa waziri asiye na maadili?
 
Polisi wa bongo duh! UDOM wameikanusha Ile taarifa ilouowekwa humu kuwa hawahusiki nayo. Pili, rpc wa mkoa wa Kilimanjaro alitakiwa kuwa mtu wa Kwanza kutoa taarifa za mauaji yaliyotokea mkoani kwake Kama yapo lakini naye hajasema lolote Hadi Sasa.
Polisi Tanzania hamjioni, hamjipimi na hamjitathimini kwenye utendaji wenu wa Kila dakika? Acheni kuliingiza jeshi lenu kwenye siasa chafu za kulindana na kuwinda vijivyeo visivyo na maslahi kwa taifa mliloapa kulilinda! Fanyeni kazi zenu kwa kutumia miongozo, taratibu na Sheria za nchi kwani hakuna aliye juu ya Sheria!
Acheni kupoteza muda wa wananchi wa kutaka kujua wanajua nini ili mlete figisu kwani Kila kitu kumhusu marehemu na msababisha kifo kipo wazi mno, msidhani ni Siri mnayoijua peke yenu!
 
Asiye na maadili humtetea mwenzake asiye na maadili.
Mlevi humtetea mlevi. Hata wezi Wana chama Chao.
Taifa lisilo na maadili ni useless ndio maana Kila report za cag ni upigaji uwajibikaji sifuri kabisa
 
Jeshi la Polisi Tanzania limesema limeona mjadala mitandaoni kuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Nusura Hassan Abdallah kilichotokea Mkoani Kilimanjaro ambapo taarifa hizo zimekuwa zikihusisha kifo hicho na ajali iliyotokea Jijini Dodoma ikimhusisha Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange lakini pia taarifa nyingine zinadai kifo chake kimetokana na kipigo kutoka kwa Mpenzi wake ambapo Polisi wamesema wameanza uchunguzi kuhusu taarifa hizo.

Akitoa taarifa hiyo leo May 06,2023, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuona taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na sababu zinazotolewa, wameshaanza uchunguzi kwa Watu mbalimbali, Hospitali alikotibiwa Binti huyo ambapo na wanashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa haki jinai”

Aidha Jeshi hilo limetoa wito kwa Mtu yeyote mwenye taarifa zilizosahihi na zenye ukweli asisite kuwapa Polisi taarifa hizo ili kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo.

“Uchunguzi wa tukio hilo ukikamilika taarifa kamili ya kilichobainika itatolewa kwa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Nchi”

#MillardAyoUPDATES
Mpenzi wake aliyemuua ameshakamatwa????
 
Inaonekana pana kitu sio bure ngoja tuendelee kusubiri maana wachunguzi nao kama wapo China na vifo vinatokea Tanzania...
 
Jeshi la Polisi Tanzania limesema limeona mjadala mitandaoni kuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Nusura Hassan Abdallah kilichotokea Mkoani Kilimanjaro ambapo taarifa hizo zimekuwa zikihusisha kifo hicho na ajali iliyotokea Jijini Dodoma ikimhusisha Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange lakini pia taarifa nyingine zinadai kifo chake kimetokana na kipigo kutoka kwa Mpenzi wake ambapo Polisi wamesema wameanza uchunguzi kuhusu taarifa hizo.

Akitoa taarifa hiyo leo May 06,2023, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuona taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na sababu zinazotolewa, wameshaanza uchunguzi kwa Watu mbalimbali, Hospitali alikotibiwa Binti huyo ambapo na wanashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa haki jinai”

Aidha Jeshi hilo limetoa wito kwa Mtu yeyote mwenye taarifa zilizosahihi na zenye ukweli asisite kuwapa Polisi taarifa hizo ili kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo.

“Uchunguzi wa tukio hilo ukikamilika taarifa kamili ya kilichobainika itatolewa kwa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Nchi”

#MillardAyoUPDATES
Upuuzi mtupu tu, Polisi wanajuwa kila kitu na usikute wazazi wa marehemu walishalipwa stahiki zao ili wanyamaze kwa kuwa hiki kifo kinahusishwa na kiongozi mpuuzi wa serikali, wanaficha maovu yake kama walivyofanya kwa Chenge baada ya kuua hawara yake mwanafunzi wa chuo Kikuu Dar. Hii serikali yetu yaani mara 100 ya Magufuli maana alikuwa hataki unafki ila Mama anaufuga.
 
Hivi kwanini wanamtetea Huwa waziri asiye na maadili?
HAwajawahi kuwa maadili hawa Kijani na sirikali wanayoiunda, kuanzia the way Wanavyoingia madarakani wanavyoshika madaraka, wanavyotawala, ni wa hovyo, hivyo usitarajie jema kutoka watu wa hovyo hovyo
 
Hivi yule mhuni Malaya wa huko MOSHI asiye na uadilifu aliyesababisha kifo Cha binti hatafanywa chochote? Ina maana some people are above the law?
Kama Kuna mtu ana simu ya mke wa huyo muhuni mshenzi muuaji anipe nimueleze mume wake anavyotembea na wanafunzi wa chuo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom