Unga Unga wapelekwa kwa mkemia mkuu

Hakuna cha sumu wala nini...Matapeli mafioso hawa!
Huo unga unga wameuweka wakataka kuutupa na sasa baada ya mambo kuwabana...Wanataka waulete!
Kama ni unga wenye kuua wa sumu ya kisayansi...Je Chenge mwenyewe alikuwa amevaa masks ama chochote cha kukinga radiations ama Inhilation?
Huo unga unaobebwa bebwa na kila mtu huku na kule huku ukionjwa onjwa ni unga wa ngano nini?
AMA NI GLUCOSE?
 
Bunge Likivunjwa Na Serikali Kurudishwa Kwa Wananchi Tutajua Mengi Tu!
Top Mafioso Don Kikwete Akisaidiana Na Kapten Makamba Hawatakuwa Na Kazi Na Hapo Tutaanza Upya Na Ukweli Kujulikana!
Narudia Tena...la Sivyo Nchi Ipigwe Panga Na Misukule Waendelee Na Owners Wao Na Wazalendo Tujipange Kuirudisha Nchi Yote Mikononi Mwa Wananchi!
Mimi Niko Radhi Kuingia Msituni Walahi Vile!
 
Chiligata si alisema kuwa Chenge alikwenda kuangalia kiti cha kukalia, sasa ukitaka kutafuta kiti kisheria ya Bunge lazima unyunyuzie unga? mbona wao wenyewe wanajikanyaga kwa kutuletea conflicting najibu?
nae spika kwa nini aliwambia wabunge kuwa ukumbi ni salama na kwamba hakuna matatizo yeyote? sasa kwa nini polisi wauchukue huo unga wakati spika kasema mambo ni shwari bungeni?
Huenda polisi hawakumwamini spika ndo maana wakauchukua huo unga unga? Au polisi hawaamini alivyosema bwana Chiligata kuwa jamaa alikwenda kuangalia kiti cha kukaa. Jamani mbona maswali yanajitokeza tu
 
Lidoda ulitegemea kwamba spika awaeleze wabunge kwamba ndani ya BUNGE kun matatizo wakati hayajathibitishwa?
Lakini pia kwa upande wa polisi ni juu yao kufanyia uchunguzi kila tukio ambalo si la kawaida na hiyo ndiyo kazi yao wala suala la kujikanyaga hapo halipo uanatakiwa uelewe hayo na siyo unazungumza vitu kishabiki tu.
 
Bunge Likivunjwa Na Serikali Kurudishwa Kwa Wananchi Tutajua Mengi Tu!
Top Mafioso Don Kikwete Akisaidiana Na Kapten Makamba Hawatakuwa Na Kazi Na Hapo Tutaanza Upya Na Ukweli Kujulikana!
Narudia Tena...la Sivyo Nchi Ipigwe Panga Na Misukule Waendelee Na Owners Wao Na Wazalendo Tujipange Kuirudisha Nchi Yote Mikononi Mwa Wananchi!
Mimi Niko Radhi Kuingia Msituni Walahi Vile!

WE! JMUSHI acha kudanganya watu uko tayari kuingia msituni kama hujui kufa hebu katazame kaburi hayo siyo maneno ya kusema temea mate chini thuuu!!!!

Umeishawahi kufika katika kambi za wakimbizi au baada ya Kibolorioni uakaenda Dar basi acha hizo usichezee amani
 
Lidoda ulitegemea kwamba spika awaeleze wabunge kwamba ndani ya BUNGE kuna matatizo wakati hayajathibitishwa?
Lakini pia kwa upande wa polisi ni juu yao kufanyia uchunguzi kila tukio ambalo si la kawaida na hiyo ndiyo kazi yao wala suala la kujikanyaga hapo halipo uanatakiwa uelewe hayo na siyo unazungumza vitu kishabiki tu.

Mmmmmh, hii haijakaa sawa. Kwa hiyo hakuna tatizo kwa sababu haijathibitishwa kuwa kuna tatizo? Hii naona ni sawa na gari halijapinduka ila limelalia ubavuni tu!!!!
 
kama hawajui majibu kwa nini wameruhusu ukumbi uendelee kutumiwa?

ina maana huo uchunguzi ukisema huo unga unga ni kitu mbaya
watatuambia nini wananchi na hao "wawakilishi" wetu?

jibu wanalijua ni unga wa mahindi huo.
 
WE! JMUSHI acha kudanganya watu uko tayari kuingia msituni kama hujui kufa hebu katazame kaburi hayo siyo maneno ya kusema temea mate chini thuuu!!!!

Umeishawahi kufika katika kambi za wakimbizi au baada ya Kibolorioni uakaenda Dar basi acha hizo usichezee amani

Hivi wewe ni MWEHU ama UMEROGWA?
AMANI IPI HIYO NA YA NINI?
WE DONT WANT PEACE...ALL WE NEED IS EQUAL RIGHTS AND JUSTICE....UNTILL THEN ITS ALWAYS GONNA BE WAR....!
 
Until the basic human rights are equally guaranteed without CLASSES...ITS STILL GONNA BE WAR!
Until that day....Or else THE RULE OF LASTING PEACE IS JUST AN IMAGINATION!
 
kama hawajui majibu kwa nini wameruhusu ukumbi uendelee kutumiwa?

ina maana huo uchunguzi ukisema huo unga unga ni kitu mbaya
watatuambia nini wananchi na hao "wawakilishi" wetu?

jibu wanalijua ni unga wa mahindi huo.

Kama wabunge wamesharuhusiwa kurudi bungeni kabla ya utafiti wa unga huku bunge lenyewe likiwa halijasafishwa ili kuwa free of any poison...Then huo unga si sumu ila wanatugeresha kimafia!
Kama unga ulihisiwa kuwa sumu halafu wabunge wamerudishwa ndani kabla ya kujua kama ilikuwa ni sumu ama la...Kwa mkemia mkuu umepelekwa ili iweje?
 
Hivi wewe ni MWEHU ama UMEROGWA?
AMANI IPI HIYO NA YA NINI?
WE DONT WANT PEACE...ALL WE NEED IS EQUAL RIGHTS AND JUSTICE....UNTILL THEN ITS ALWAYS GONNA BE WAR....!

Mushi,
yaani unataka haki za msingi na justice LAKINI hutaki amani ?? usipokuwa na amani utapate hivyo vitu ulivyotaja ?
 
uongo unamwisho wake, mafisadi wanashidwa kutambua kwamba Mungu anawasikiliza Watanzania na ameamua kuweka wazi uozo wao. zingine ni aibu za kujitakia.. akina Chiligati..
 
Mushi,
yaani unataka haki za msingi na justice LAKINI hutaki amani ?? usipokuwa na amani utapate hivyo vitu ulivyotaja ?

Kuna amani gani inayopatikana BURE?
Kuanzia vita ya kumwondoa Mkoloni...Tulipata misaada ya kutoka kwa mataifa yenye kuwaonea huruma masikini wanyonge wenye kukandamizwa.
Tunapata misaada a kupiga vita UFISADI lakini zinatumika kuulinda!
Tunataka wazalendo....Tuko kwenye wakati mwingine wa VITA DHIDI YA MAFIOSO MAFISADI...Vita ambayo ndiyo MKOMBOZI KWA HAKI NA AMANI YA KWELI!
Amani ipi hiyo ya watu kufa na Njaa kwenye taifa lao Tajiri lenye kumilikiwa na MAFIOSO WACHACHE WALIO LIROGA TAIFA?
Mimi nakwambia this time wengine hatuogopi kufa tena kwasababu hata kama tuko hai haya mambo yatatuua kwa ugonjwa wa moyo pale tunapofikiria huko tunakokwenda!
 
Kama wabunge wamesharuhusiwa kurudi bungeni kabla ya utafiti wa unga huku bunge lenyewe likiwa halijasafishwa ili kuwa free of any poison...Then huo unga si sumu ila wanatugeresha kimafia!
Kama unga ulihisiwa kuwa sumu halafu wabunge wamerudishwa ndani kabla ya kujua kama ilikuwa ni sumu ama la...Kwa mkemia mkuu umepelekwa ili iweje?

Hapo ndio nazidi kuhoji busara ya spika wetu na kimbelembele cha Katibu wa bunge kusema ana uzoefu wa kimataifa kuhusu vitu hivi na inaweza kuwa sumu. At the same time anaruhusu watu watumie ukumbi kabla ya matokeo ya Mkemia Mkuu.

Vitu vitatu:-

(1) Usanii - Vipi unasema ni salama kabla ya matokeo ya uchunguzi?
(2) Kimbembele cha kisiasa - Amekimbilia kuongea na vyombo vya habari huku baadhi ya watu wa security ya bunge hawajui kinachoendelea.
(3) Kukosa busara - this was a security issue and should have been dealt with caution and speed. Huyo mkemia anachukua muda gani kuinvestigate sample? Kama ameshindwa awapelekee SGS...watampa majibu in hours!

Ni wazi kuna vita vya kisiasa wa kimakundi NA kama nilivyosema mwanzo...spika alichekelea kumpata mmoja wa wabaya wake kwenye kamera...
 
Jeshi la Polisi limesema kuwa unga unga uliokutwa kwenye baadhi ya viti vya Wabunge wiki iliyopita baada ya Mhe. Chenge kuvipitia "akitafuta mahali pa kukaa" utapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa serikali Jijini Dar kwa uchunguzi zaidi. Hayo yamesemwa na Jeshi la Polisi leo na wameahidi kuwa matokeo ya uchunguzi huo yatatangazwa mara moja.

Ukweli ni kwamba hizi ni propaganda tupu, tumewashika pabaya hawa, mimi ninasema kuwa kama sio dataz, hawa wasingethubutu kusema anything, wangenyamaza kimyaa, sasa wameona tumesema kuwa Spika kawapa masaa 72 kutoa matokeo, (hii nayo ilitakiwa kuwa siri) ndio wamejitokeza kuwa wanapeleka kwa mkemia mkuu, sasa mbona wamesema polisi tu uwt vipi si na wao wanahusika na uchunguzi au?
 
FMES

Hapa wamegonga ukuta kwani JF tumekuwa kwenye mstari wa mbele kuwakomalia MAFISADI na mabaradhuli kama hawataki kuishi kwa pesa halali tutawakoma kama ukoma ulivyokomwa na Nyani atakomwa hadi Giladi.
 
Lidoda ulitegemea kwamba spika awaeleze wabunge kwamba ndani ya BUNGE kun matatizo wakati hayajathibitishwa?
Lakini pia kwa upande wa polisi ni juu yao kufanyia uchunguzi kila tukio ambalo si la kawaida na hiyo ndiyo kazi yao wala suala la kujikanyaga hapo halipo uanatakiwa uelewe hayo na siyo unazungumza vitu kishabiki tu.
kwa utaratibu wa kawaida tu,ilitakiwa bunge kusimamisha shughuli zake kwa muda ilikupisha uchunguzi ufanyike.Lakini tatizo la serikali ya ze comed inasikiliza wana ccm bila kutumia taaluma yao,ndio maana mwisho wa siku unakuta kila mtu anasema lake.Lidonda kama unafikiri kuna serikali basi ni kujidanganya ila tuna chama kinachoongoza nchi
 
usichezee amani

Ipole bado unaamini kuwa tanzania kuna amani?
Kuingia msituni si tatizo,omba uzima ushuhudie siku ya kuingia msituni ikifika
Lazima tupigane 4 tz,hii si nchi ya wahindi,waarabu,wairan,wazungu n.k wanaogawana tunu yetu na mafisadi.

Eee MUNGU naitamani kwa hamu siku hiyo utakaposimama upande wetu masikini watanzania.Upanga wako ukipita juu ya hao nilowataja hapo juu.amina.
 
Tena na HUU UCHAWI WASHINDWE KABISA NA WALEGEE!
HILI TAIFA LETU NI LA MUNGU NA WATU WAKE NA SI MAFIA MAFISADI,POPOBAWA NA VIGAGULA!
 
Nonsense! Wastage of time! Attention diversion! Stupidity. Wameshakubaliana sio uchawi wala sumu sasa wanatupotezea nini muda wetu? Wajinga hao wanapeleka unga wa mahindi. Kwa nini ule unga wenyewe walibaki nao?

Asha
Hata kama utakuwa unga mahindi, swali "Unga huo ulikuwa na madhumuni gani especially kwa muda ule AC alipokuwa akitafuta seat?"
 
Back
Top Bottom