mpz umesoma miaka ipi 70's.80's,au kama mm 90's mana ndio izo au wewe hukusoma kitabu cha musa,neema,na baraka na mtakuja primaty school
kwanza nina ishu nataka nikumegee .....talk with u laterUmeona eeeeh
Huyu charminglady hajajua raha ya uchakachuaji eeeh
Halafu ukimuona laazizi utajikausha kama hujamuona ?
Kwanza hata CUTE nimemmiss sana na nina ishu nae kama vipi CUTE nicheck kwenye PM please
sikujua kama kuna wakati uko so polite and so romantic like that.....:flypig: lala unono kwa leo kesho useme umeota nini okSichakachui tena charminglady
Ngoja namalizia kuongea na CUTE then nakuimbia wimbo mmoja then naongea na Madame B then nakuimbia mwingine halafu nasema faster
.................................................
Mbuga za wanyama wa Tanzania
Ya Kwanza ni Serengetiiii.....Ngorongoro...Manyara na Mikumi
Watanzania oyeeeeeeeee
.........................................................
mpz umesoma miaka ipi 70's.80's,au kama mm 90's mana ndio izo au wewe hukusoma kitabu cha musa,neema,na baraka na mtakuja primaty school
tulikuwa tunakatikaje hapo sasa, je ule wa kuruka kamba wa ngurumo, ngurumo, mpaka maputo, sanda na ikweta mamaa ikwetaeee, aineme, ainuke, ainame salome........... nimesahau yeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tulikuwa tunapigwa na mama kila siku kuchelewa kurudi tuition ya mwalimu mndolwa mlimani primary! khaaaaaaaaa! kuruka kamba! we had some good times kwa kweli. morning chit chatters, morning my sugar Asprin!Jieleze jieleze,
jieleze jieleze,
jieleze jieleze ntajieleza mama,
Mimi hapa ni Madame,
Mama yangu ni Salima
Baba yangu ni Kikwete.
nshajieleza mama.
Yani huo mwimbo unan'koshaga sana shost Charm na mamito cacico.
Mamndenyi na huu, tanzania, tanzaniaLol. kwa hizo nyimbo mbona wengi mnaonekana tu
watu wa umri fulani jamani, msinidanganye mimi lakini.
wimbo nakumbuka huu hapa:
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.........
beibe nasty, Madame B, Erickb52, Raiamwematz Kaizer, Acha Uvivu jaman utoto wa enzi zetu ulikuwa raha kweli mpk nautaman cku moja wanirudishie haja kwa mwez 1 nichezee michezo yooote,niimbe nyimbo za kitoto zoote! watoto wa cku hz hata hawafaidi lolest. . .
wap wewe kutwa kunibania mambo yangu tuu...
mambo ninayo tena mazito..katu huwezi kuyabeba bimkubwa..Huna mambo,
Huna nyimbo,
Subiri fimbo.
Anaekubania hayo Mambo unamjua sana,
basi tu.