Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)?

duh, CUTE nyimbo zako ngeni. . . Erickb52, chakachuaring thread is total prohibited. . .
Sichakachui tena charminglady
Ngoja namalizia kuongea na CUTE then nakuimbia wimbo mmoja then naongea na Madame B then nakuimbia mwingine halafu nasema faster
.................................................
Mbuga za wanyama wa Tanzania
Ya Kwanza ni Serengetiiii.....Ngorongoro...Manyara na Mikumi
Watanzania oyeeeeeeeee
.........................................................
 
Last edited by a moderator:
Sisiem Sisiem Sisiem ni chama chetu...X2! zidumu fikra za mwenyekiti wa chama. miaka hiyo!!
 
Nnao ukumbuka mie unachukiza huo balaa! Mtavumilia? N.way... Wacha niendelee, "ccm mauaa popote huchanua! Twendeeni tukalijenge taifaaa...!!"
 
Yani hapo ni full mauno kwa kwenda mbereee!!
Wavulana walikuwa wanakomajeee enzi hzo pale Forodhani..!!!
Dah!
Natamani nirudi utotoni jama.

Charm shost we enz hzo shule gani?
Yani n'likuwa natamani saa 7 isifike haraka.

duh,me nlikuwa st.kayumba kule kwetu tandahimba. mwe hata me nautamanije utoto mamie!
 
Idi Amini wa Uganda
anajifanya Kamanda
hata kama akishikwa
atazikwa bila sanda
..........................................
Hapo tuko kwenye mchaka mchaka

sie tulikuwa tunaimba hv
iddi amin akifa akifa mimi siwez kulia kulia ntamtupa kagera kagera awe chakula cha mamba cha mamba!
 
duh,me nlikuwa st.kayumba kule kwetu tandahimba. mwe hata me nautamanije utoto mamie!

Unaukumbuka huu:
a...e...i o u,
hzi ni herufi kuu!!
tamka kwa sauti tuu!!

Na huu:
Naweza kuhesabu moja mpaka kumi,
Naweza kuhesabu moja mpaka kumi,
moja mbili tatu nne,
tano sita saba nane,
tisa kumi namaliza,
dada Chami ongeza....

Hafu hapo anadakia mwingine.
Yani full mautamu.
Kunoga Mwee..!!!
 
Hv Aladji Aladji ni nyimbo ya S/msingi?

Kama sio mbona inaimbwa sana Mashuleni?
Erickb52 kama nakuona enzi hzo unavyovunja ngoko kwa Mabreka na SagaDance.
 
Last edited by a moderator:
Sichakachui tena charminglady
Ngoja namalizia kuongea na CUTE then nakuimbia wimbo mmoja then naongea na Madame B then nakuimbia mwingine halafu nasema faster
.................................................
Mbuga za wanyama wa Tanzania
Ya Kwanza ni Serengetiiii.....Ngorongoro...Manyara na Mikumi
Watanzania oyeeeeeeeee
.........................................................

mchakamchaka!
 
Last edited by a moderator:
naanza kuaminin kuwa we ni mwalimu Madame B, hzo nyimbo hata nlikuwa sizikumbuki!
 
Last edited by a moderator:
unaukumbuka wa kidhungu?
are u sleeping, are u sleeping brother musa brother musa. morning bells are ringing ding dong dingx2
 
Salama tuu huku mpenzi mejilaza namtazama huyo anna makinda

nahc unaandaa mbio za kuwa mwanasiasa maarufu, me nkifatilia bunge napatwa na hasira bora niwe nalifatilia humu jamvi. . . nikiwapa madongo yao via jukwaa la siasa hasira zinapungua!
 
Nnao ukumbuka mie unachukiza huo balaa! Mtavumilia? N.way... Wacha niendelee, "ccm mauaa popote huchanua! Twendeeni tukalijenge taifaaa...!!"

SALOK & ndenga tena sie ilikuwa kila tunapotoka paredi kuingia madarasan tunapanga mistar tunaingia huku twaimba hzo nyimbo. . . yan cpendi kukumbuka make kwa jinsi ninavowachukia magamba we acha tu. . . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom