Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)?

Sasa tuna wahesabu
walio kufa kwa tabu
bila hata matibabu
walio kufa kwa tabu duniani
tom mboya wa Kenya
si kiongozi mbaya
kala risasi ya taya
maharamia wabaya
wala hawaoni haya kumuua
wana kifungo cha maisha gerezeni
wananchi ndg zangu mwasikia
maneno yalivyo semwa majuzi huko uganda
maiti nao husema aaaa
wacha tanzania utaitambuaaa
na maiti si mwingine ni amini
amini kapiga ngoma Gaddafi kaimba wimbo
maiti nayo husema aaah
wacha tanzania utaitambua
 
Kichekesho kichekesho,kumtazama chura;
hana mkia hana mkia wala masikiooo...
Ua kaka ua kaka ua kaka ua;
Ua kaka,ua kaka ua kaka uaaa!

Duu!mkuu una good memory, huu wimbo nisingeukumbuka kabisa.... Nakumbuka darasani tulikuwa tunaupenda mno!
 
Naukumbuka huu"maji ya kisima kile sintayanywa teena nyani na tumbili mama walioga mule,walioga mule mama walioga mulee..mimi na rafiki yangu tulivyopendana ilibaki roho moja tubadilishane aiyombelela mama aiyombeleaa....."
 
Mwingine huu....saa ya babu mkubwa yaenda vizuri sasa miaka 90 siku ile azaliwa ile saa ya nunuliwa siku ile azaliwa ile saa ya nunuliwa inamburudisha daimaaa...haichoki kulia wee tik tak tik...haichoki kulia wee tik tak tik...lakini tu basi haindeni tena aakifa mwenyewe x2
 
lara 1 njoo tuonyeshe maringo yako tuyaone biringibiringi mpaka chini
 
Last edited by a moderator:
Sasa tuna wahesabu
walio kufa kwa tabu
bila hata matibabu
walio kufa kwa tabu duniani
tom mboya wa Kenya
si kiongozi mbaya
kala risasi ya taya
maharamia wabaya
wala hawaoni haya kumuua
wana kifungo cha maisha gerezeni
wananchi ndg zangu mwasikia
maneno yalivyo semwa majuzi huko uganda
maiti nao husema aaaa
wacha tanzania utaitambuaaa
na maiti si mwingine ni amini
amini kapiga ngoma Gaddafi kaimba wimbo
maiti nayo husema aaah
wacha tanzania utaitambua

aisee....
 
Mabata madogo dogo yanaogelea,yanaogelea ktk shamba zuri la bustani.

Yanapenda kutembea bila viatu (bila ),bila viatu........

Dah,huu ndio tumetoka kufundishwa juzi.Nitajieni na mingine nimpelekee mwalimu
 
A, b, c, d, e, f, g,....h, i, j, k, elomeno, p....elomeno p, q, r, s, t. ...u, v, w, x, y, z
 
Duh!enzi hizo michango mitatu UPE ,umishumta na mafuta ya mwenge sio siku hizi hii sio michango tena ila ni minyoo kabsaa.
 
Huu wimbo wa
sasa ni saa ya kwenda kwetu kwa heri mwalimu tutaonana kesho. Ulikuwa unanisisimua sanaaa.
 
Jieleze jieleze,
jieleze jieleze,
jieleze jieleze ntajieleza mama,
Mimi hapa ni Madame,
Mama yangu ni Salima
Baba yangu ni Kikwete.
nshajieleza mama.

Yani huo mwimbo unan'koshaga sana shost Charm na mamito cacico.

ha ha haaa
 
teh teh mie huu hapa sasa sasa saa yakwenda kwetu kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana keshooooooo mi meno yatoka ka niin kwa furaha. Na mwingneeeeeee aaaaaaaahh upi uleeeeee aahaa huu hapa bana asiyependa shule ni mjinga kabisa asiyependa shule ni mjinga kabisa barua ikija twaitembeza kutwa barua ikija twaitembeza kutwa huyohuyohuyo ni mjinga kabisaaaa. Aiyayayaaaa kindumbwendumbwe chalia kindumbwendubwe chakua kikojoz nanguo twaitia moto na ndan kuna viroboto hiloooo.tehteheeeeee walikua wanakoma vikojoz

ha ha haaa
 
Sasa tuna wahesabu
walio kufa kwa tabu
bila hata matibabu
walio kufa kwa tabu duniani
tom mboya wa Kenya
si kiongozi mbaya
kala risasi ya taya
maharamia wabaya
wala hawaoni haya kumuua
wana kifungo cha maisha gerezeni
wananchi ndg zangu mwasikia
maneno yalivyo semwa majuzi huko uganda
maiti nao husema aaaa
wacha tanzania utaitambuaaa
na maiti si mwingine ni amini
amini kapiga ngoma Gaddafi kaimba wimbo
maiti nayo husema aaah
wacha tanzania utaitambua

Huu wa muda sana nini, Mi siujui
 
One two ,tie my shoe
Three four shut ze door
Five six ,count up six...............,,,,,,

Alisema ,alesema
Alisema Nyerere ,Alisema
Vijana wote mmelegea
Shariti muanze
Mchaka mchaka
Chinja.....
 
Moja mbili tatu,nne tano sita,saba nane Tisa,kumi kuogeza,kikombe cha chai,kina mtoto ndani,saa ikifika baba yuko mezani.
 
Kuna huu mstari kimbia ng'ombe kimbia upesi baba ana njaa.Sijui ilikuwa kitabu gani?
 
Nakumbuka sana wimbo wa Tanzania tanzania jina lako nitamu sana
Pia maua mazuru yapendeza nyuki atazama hamna mmoja asiependezwa nzuunzuu ee mama nyukilia wee
Mwingine hii ndio A aaa inamkia mfupi aaa hii ndio E eee eee inamkia mrefu eeee hii ndio I iiiiii iko kama fimbo iiii hii ndio O oooo iko kama noini sijui nk nk
 
Pia upo ule karudi baba mmoja toka safari kavimba yote mapaja sijui nanini nshasahau
 
Back
Top Bottom