Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Jul 17, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Hi guys,

  me naukumbuka huu, "hesabu ni nzuri sana weeee mwalimu nifundishe siwezi kusahau ee mwalimu ee mwalimu nifundishe"

  mwingine "a e i o u hizi ni herufi kuu, tamka kwa sauti kuu, hizi a e i o u"

  unazikumbuka nyingine??????????
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nampenda, mpenda nani?,
  kijana mmoja, nani?
  ana macho madogo? nani?,
  ni .........., malizieni! khaaaa umenikumbusha mbali! na turinge bayoyo, nimewafundisha wanangu, khaaaa wanatakaje sasa tukatike wote mpaka chini, khaaaaaa!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hahaaaaaaa.... haha ndo hapo mpka utakatika nao... mamie me mpaka saiv napenda michezo ya kitoto hwua naacheza na mpnz watu smtym yan inanogaje!
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  nimekumbuka mwingi huu hapa..... ukti ukuti wa mnazi wa mnazi, mwenztu mwenzetu kagongwa kagongwa na nini na nini nagari na gari, tumpeleke hospital asije kusema kwa baba na mama yae yase yase yaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Jieleze jieleze,
  jieleze jieleze,
  jieleze jieleze ntajieleza mama,
  Mimi hapa ni Madame,
  Mama yangu ni Salima
  Baba yangu ni Kikwete.
  nshajieleza mama.

  Yani huo mwimbo unan'koshaga sana shost Charm na mamito cacico.
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Madame B tena ukiwa unaimba huo wimbo unajibetuaje? unaringa ringa afu unatikisa kiuno lolest. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Simama Kaaaa Simama Kaaaaaaa
  Rukarukarukaaaaaaaa
  Simama Kaaaaaaaaaa
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hujambo Cheupe?
   
 9. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  teh teh mie huu hapa sasa sasa saa yakwenda kwetu kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana keshooooooo mi meno yatoka ka niin kwa furaha. Na mwingneeeeeee aaaaaaaahh upi uleeeeee aahaa huu hapa bana asiyependa shule ni mjinga kabisa asiyependa shule ni mjinga kabisa barua ikija twaitembeza kutwa barua ikija twaitembeza kutwa huyohuyohuyo ni mjinga kabisaaaa. Aiyayayaaaa kindumbwendumbwe chalia kindumbwendubwe chakua kikojoz nanguo twaitia moto na ndan kuna viroboto hiloooo.tehteheeeeee walikua wanakoma vikojoz
   
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  tembea tembea,kimbia kimbia, rukarukaruka simama ka a a a a. . . .
   
 11. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kaka kaka musa kaka musa walalaaaaaaaaa walalaaaaaaaaaaaa
  amka twende shulex2
  ndi ndo ndi
  ndi ndo ndi
   
 12. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  simbi ni mvivu hapendi shule kabisa barua ikija atembeza kutwa huyu yeye huyu ni mjinga kabisaaaaa
   
 13. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bwana shamba had a farm e i e i oooooooo
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Weupe wangu umeuona wapi Erickb52?

  Ukiambiwa mwanga utakataa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nimekumbuka wimbo huu:

  Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali.
  Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili...
  'SIZITAKI MBICHI HIZI'
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh unachakachua hadi thread,km wataka kumsalimia c u-pm?
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa hivi unadhani mtu ukimnyamazia mwenzio ndio hatujuani humu?
  Lol hata mwanga huwa anajua vitu sema hasemagi tu coz akiulizwa kajuaje anakosa jibu!
  Ila nakumiss Madame B
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kuchakachua thread ni Profession yangu kama una lingine sema ila kwa hilo usihangaike nao
   
 19. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Yani hapo ni full mauno kwa kwenda mbereee!!
  Wavulana walikuwa wanakomajeee enzi hzo pale Forodhani..!!!
  Dah!
  Natamani nirudi utotoni jama.

  Charm shost we enz hzo shule gani?
  Yani n'likuwa natamani saa 7 isifike haraka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Idi Amini wa Uganda
  anajifanya Kamanda
  hata kama akishikwa
  atazikwa bila sanda
  ..........................................
  Hapo tuko kwenye mchaka mchaka
   
Loading...