Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Mwenzenu vyoo vya kukaa huwa navipandia juu nachuchumaa, kwa raha zangu!

Inabidi uwe mwangalifu unaweza kuanguka siku moja, halafu huo upandiaji lazima ushike ukuta nao unaweza kuwa mchafu..kifupi hivi vyoo vinahitaji usafi wa hali ya juu!

Hivi vyoo vya kukaa ndio vikoje? Huku kwetu Kabungu havijafika.
mkuu Katavi, ni kama hicho pichani
95625968a4189acd_toilet_seat.jpg
 
Yaani kwa matumizi ya public bora hata aina hii ya choo, unaweza kuflash ukimaliza na pia usirudishiwe chenji/usirushiwe tone za maji ushushapo mzigo vile vile kinasafishika kiurahisi MUHIMU maji yawepo..ni kizuri majumbani ukizingatia wengi wetu tuna familia extended!!
Squat-Toilet.jpg
 
Hivi umri huu naweza kushare room na mtu, tena a total stranger?
Hao wenye training ningewanyofoa makoromeo kama nisingefikia makorodani!

H ahahahahaa! Mie nami nimejiuliza sana aisee inakuwa ngumu sana tena unapangwa na mtu ametoka Mauritius huko dah!!!!!!! Nisingeenda training au ningekaa hata hoteli ya buku kumi na tano! Isiwe tabu.:frusty:
 
Choo cha kukaa ni janga kwangu,
yaan nirukiwe na maji matakon!
Hiyo karaha siiwez,
mi nikikuta choo cha hivyo huwa napanda juu kwa umakini na kushusha sehem ya pemben then naflsh,
hivyo vyoo sijui kwa nn vimepitishwa kwa matumizi hata ya mme na mke havifai,
namlaum sana mvumbuzi


...Mkuu Ziltan, Hii kushushia mzigo sehemu ya pambeni ya sinki nayo huwa ina matatizo yake maana mzigo unaweza na kama na gundi fulani hivi kwa hiyo unanasa pale ulipoushushia! Ndio hapo unajikuta hata uki-flush maji pipa zima kale kamzigo kanaendelea ku-stick pale hata siku tatu mpaka aje msafishaji akwangue na Brashi yake! Hili nalo unalionaje mkuu??
:smile-big:
 
na wajawazito pia, na wakati umechoka inakusaidia kutoa kinyesi chote ukiwa relaxed.

sikuizi maendeleo yamekua zaidi CHOO CHA KUKAA HUNA HAJA YA T.PAPER CHENYEWE KUNA KUSAFISHA UNAMWAGA MAJI MPAKA NDANI YA ..M..... THEN INAKUJA HEWA YA MOTO KAMA DRAY INAKUKAUSHA WA VAANGUO NENDE HAKUNA UCHAFU WALA YTI...KINA UZWA tsh 800.000/ tubadilike kwa wale wenye kauwezo wa pesa
 
bora vya kwetu kule masege mie nachukua zangu jembe naenda zangu polini natifua nafanya shughuli yangu kisha narudishia kesho kutwa nyasi linarutubika linakuwa lisho la ng'ombe! penda sana africa mie
 
duh kumbe tupo wengi tunaopata adha ya choo cha kukalìa. duh, me ofisini kwetu kuna vyoo vya kukalia na hata home kwenye masterbedrum thou ni nyumba ya kupanga. ila home kuna public toilet pia.. home huwa natumia kile kile cha public. hata nisafishe aje siwezi kuwa comfortable kukaa. ofisini kiukweli huwa nainama wakati nasusuu. labda nipate mchafuko wa tumbo ndo nilazimike kukata gogo ofìsini. . . lakini mara nyingi huwa nakata gogo home!

Nimekuelewa woga wako ni huu

toilets_India_2.jpg
 
Subiri ukifika miaka sitini (60) utaanza kuvipenda!

...Mkuu SMU, kauli yako ni kama uthibitisho wa jinsi wazee wetu huko mavijijini ambao wengi wao hata hawafahamu kuwa duniani kuna kitu kinaitwa 'Choo cha Kukaa', Jinsi walivyo FIT.

Sio jambo la ajabu kabisa kuona Mzee wa miaka 80,nini 60, anaingia kwenye choo cha shimo,anachuchumaa, anafanya vitu vyake kwa madakika kadhaa,anamaliza na kunyanyuka na kuondoka zake kwa raha zake bila kuonyesha hata salili ya kuchechemea!! :biggrin:
 
Hivi choo cha kukaa utacham** vp? na maji hata km toilet paper zipo mai hakuna bora choo cha shimo cha Bibi yangu kule mgombani
Asia Type ndo choo unaweza jikamua na gogo lote likatoka kuliko vta kukaa
 
Wanabodi,

mimi ni mbantu hasa ila sema linapokuja suala ya technologia especially ya choo cha kukaa wengine wanaita cha maji napata shida kidogo, naona bora hata nitumie choo cha shimo kwa long call,maswali machache kwa wale wenye matumizi ya hiki choo:

1.ukienda long call unatumia maji ama tissue baada ya kumaliza??
2.kama unatumia tissue je unatoka pembeni ya kikalio cha choo ama unamaliza hapo hapo?
3.kama unatumia maji je unainuka na kwenda pembeni baada ya long call kutumia maji??

ndio maana wengine wanapanda juu ya choo cha kukaa ila ni bora kutumia choo cha kuchuchumaa hakina distarbance baada ya shughuli.

asanteni.
 
Kie kie kie kie kie.. Mie nikiwa job hua napamba toilet seat na toilet paper juu yake and then nakaa kumaliza kilichonipeleka..
** nikifika home kwenye mchoo wangu wa shimo swaafii kabisa.


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Kie kie kie kie kie.. Mie nikiwa job hua napamba toilet seat na toilet paper juu yake and then nakaa kumaliza kilichonipeleka..
** nikifika home kwenye mchoo wangu wa shimo swaafii kabisa.


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

hahaha..swali langu ni je baada ya kumaliza shughuli unatumiaje tishu ama maji?/unainuka na kwenda pembeni kufanya hiyo shughuli?i find it distarbance.
 
Huwa napata disturbance na vyoo vya kuchuchumaa thats why ukija kwangu hakuna vyoo vya kuchuchumaa.
La kuzingatia ni usafi na ndicho nachohakikisha kila siku kuwe na dawa za kuleta harufu nzuri,dawa za kuua wadudu na kila mtu akitoka toilet ahakikishe amemwagia dettol etc.choo chako kikiwa kisafi utaenjoy mi huwa naingia jf hata nikiwa toilet.vya shimo huwa nikiingia nawahi kutoka no pleasure at all.
 
hahaha..swali langu ni je baada ya kumaliza shughuli unatumiaje tishu ama maji?/unainuka na kwenda pembeni kufanya hiyo shughuli?i find it distarbance.

Nafikiri Kuna haja vyoo vya kukaa vikawa na tundu la kupitisha mkono kujiswafi other wise ni mtihani ..
 
hahaha..swali langu ni je baada ya kumaliza shughuli unatumiaje tishu ama maji?/unainuka na kwenda pembeni kufanya hiyo shughuli?i find it distarbance.

Kwanza natumia tissue and then kwenye lile dude lenye maji ya kuflash ndani yake kuna kikopo changu kidogo cha kuchambia.
* inabidi uwe muangalifu kweli. Jinawishe and then jikaushe na toilet paper na usisahau kukausha floor pia maana maji maji yatakua yamemwagika.



Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom