Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,715
- 30,055
Mi ndo maana nliamua home kwangu kila mtu awe na choo chake. Nami nikajitengenezea cha kulala kabisa. Ku puuuh ni starehe
Kichwa hapo juu chahusika. Ni kijana wa miaka 30. Huwa napata shida baada ya kumaliza haja yangu, muda wa kujisafisha. Mara nyingine huwa napanda juu ya sehem ya kukalia ili nichuchumae. Mda mwingine naona bora hata kwenda vichakani. Mimi naona vyoo vya kukaa Tanzania vipigwe marufuku tena kali, ni hayo tu.






we jamaa akili huna Yan umeshindwa kutumia choo Cha kukaa unataka vipigwe marufukuchoo cha kulala mzigo utaushushaje
wapo wanaoshusha mpaka kilo 5 na uhaxro lita 3



