Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,207
- 3,604
Kama inavyojieleza hapo juu, ni wiki sasa nimepata kazi katika taasisi fulani, ila sasa tatizo ni kwamba hapa kuna vyoo viwili cha kawaida na cha kukaa. Natamani sana kujua namna ya kutumia hiki cha kukaa maana sielewi baada ya kunanihino unatawadha vipi?
Je, unasimama kwanza halafu maji yataenda wapi sasa au unabaki umekaa tu pale?? Yaani nimeumiza kichwa sana ni manuva gani yanatumika kujiswafi baada ya kujisaidia.
Tuelekezane.
Je, unasimama kwanza halafu maji yataenda wapi sasa au unabaki umekaa tu pale?? Yaani nimeumiza kichwa sana ni manuva gani yanatumika kujiswafi baada ya kujisaidia.
Tuelekezane.