Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

PALE UDSM MAIN CAMPUS CJUI KM KUNA MTU ANAKALIAGA VILE VYOO. MIAKA MITATU MIE NILIKUA NI KUJIPANDIA JUU TU KM NYAN VILE.
Kusema kweli vyoo vya kukaa vya public navichukia mnoo! Hicho ni choo cha masterbedroom tu....
 
..
Na vipi wakati wa haja kubwa ikishuka hairushi maji yakakurukia?
Kwa kawaida unatandika TP pale juu pa kuketi pote..halafu naning'iniza kipande kirefu kiasi kwa pale mbele kuelekea ndani ya choo ili mashine isiguse kuta za choo. Halafu na kipande kingine kidogo unatupia kwenye maji ili mzigo ukishuka maji yasikurukie.
Kwa kifupi, ile TP ya 1000 inatumika kama siku 5 hivi kwangu mtu mmoja.
 
Hapo umenigawia siri maana siku moja maji yalinirukia nikatamani nikajisafishie na jiki
 
kama inavyojieleza hapo juu,ni wiki sasa nimepata kazi katika taasisi fulani,ila sasa tatizo ni kwamba hapa kuna vyoo viwili cha kawaida na cha kukaa,natamani sana kujua namna ya kutumia hiki cha kukaa maana sielewi baada ya kunanihino unatawadha vipi,unasimama kwanza halafu maji yataenda wapi sasa au unabaki umekaa tu pale??,,,,yaani nimeumiza kichwa sana ni manuva gani yanatumika kujiswafi baada ya kujisaidia.

tuelekezane.

Haaaaa haaaaaa panda juu ya choo mkuu
 
Kichwa hapo juu chahusika. Ni kijana wa miaka 30. Huwa napata shida baada ya kumaliza haja yangu, muda wa kujisafisha. Mara nyingine huwa napanda juu ya sehem ya kukalia ili nichuchumae. Mda mwingine naona bora hata kwenda vichakani. Mimi naona vyoo vya kukaa Tanzania vipigwe marufuku tena kali, ni hayo tu.
 
na kama hakuna vichaka!?
 
Vyoo vya kukaa huwa vinafaa kujisafisha kwa Toilet Papers..
 
Kuendekeza wehu tu. Naamini upo kwa ndugu na unawaharibia choo chao. Endelea kupanda, siku ukivunja mguu ndio utajua madhara ya unalofanya.
 
Mimi naona vyoo vya kukaa Tanzania vipigwe marufuku tena kali, ni hayo tu.
Naunga mkono hoja na pia ningependa lugha ya kisukuma ifanywe lugha ya taifa.wabheja sana.
 
Wanashauri usiwe unapanda juu ya vyoo vya kukaa ni hatari kwa makalio yako.
images.jpg
 
Vyoo vya kukaaa vilitengenezwa kwa wagonjwa ambao hawawezi kuchutama au wagonjwa wa nyonga.
 
Back
Top Bottom