Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Hakuna kitu sikipendi kama Choo cha kukaa..NI vema kitumike kwa Mke na Mume.UKIANZA KUNYA MAJI YANAKURUKIA MATAKONI bila ridhaa Yako
ndugu hujui kukaa vizuri basi kunastail yake yakukaa hurukiwi na maji hata chembe,labda kama unaangusha pingili pingili
 
though sio njia ya kujikinga na bacteria infections sasa utaweza kufanya mlolongo wote huo wa kupanga karatasi iwapo hujabanwa na haja kwa ukali hasa uharo sijui kama unaweza weka hata karatasi moja looh!
usaatarbu wa hivi vyoo wanauweza wadhungu wenyewe coz mtumiaji akimaliza anasafisha na kumruhusu mtumiaji mwingine akute mazingira safi, kwa bongo imeshindikana japo utakuta baadhi ya kumbi na hoteli wameajiri mtu wa kukaa chooni ukitoka tuu anaingia kusafisha kabla mwingine hajaingia coz utakuta mwingine anakanyaga na miguu pale pa kukalia.
Kuna wengine hawana aibu hasa vya maofisini waweza pishana na mtu katoka mlango wa choo mtanashati ananukia ukiingia na kukuta jinsi alivyokiacha choo looh haja yako yote inarudi ndani.
Vyoo vya kukaa mkiwa watumiaji ni wastaarabu vinafaa hata kwenye public shida kila mtu anakuwa na kinyaa na akimaliza koz kakikuta kichafu anaacha kichafu.
KITUKO: kunawannandoa fulani baada ya kuoana walifunga mlango wa choo cha master na kuacha kukitumia kwa sababu ya kutegeana kukisafisha, ilikuwa hivi, mke akiingia anasafisha kabla ya kutumia na baada ya kutumia. Mume akiingia anatumia na kukiacha kichafu bila hata kuflash ilhali maji yapo. Hali hii iliendelea na mke akalalamika kwamba basi hata kuflash nyee yako ili mie niwe nasafisha tuu usafi mwingine mume wala hakurekebishika. Ikafika mahali mke nae akazira kusafisha wakawa wanatumia nyee juu ya nyee hadi ikafika mahali huwezi hata kuingia kuoga ikabidi wakifunge na watumie cha public amabcho anasafisha housegirl.
So usafi wa vyoo vya kukaa ni ustaarabu wa mtumiaji na usafi, wote mkiwa hivi hata kama ni nyumba nzima ya watu 10 kila ukiingia chooni waweza lala au kusinzia huku wadondosha nyee looh

................daaaah ! hii kali ! kweli wako watu wa hivyo, ofisini kwetu ilibidi cleaner ampe live boss mmoja hivi. Maana yeye akiingia tu, anaharibu mazingira na usalama wa taifa na hana wasiwasi !
 
waulize wakazi wa udsm hall 2 na hall 5 mabweni yenye wakazi zaidi ya 1000 na bado wanashare vyoo vya kukalia..
kiukweli nilikuwa na maisha magumu sana pale chuoni hasa nikiwa nimebanwa na ukute maji yamekatika au hayapandi floor za juu ni ugonjwa wa moyo kwakweli

loh! Kule hali mbaya!
 
Dah! Sitaki kusikia hivi vyoo! Manake me nikiwa nafanya mambo huku nimekalia pale juu huwa nashindwa kudhibiti mkojo, mbaya zaidi dudu ikisimama basi mkojo waweza kuniloanisha mwili mzima! Wat tha hell!
 
Sasa ni sie tunaoishi nchi za watu huku hakuna choo cha aina nyinh=gine yoyote bali ni vya kukaa tuu. Hawajui hata vya maji vya kuchuchumaa, ukijitahidi kuwaelezea hata hawaelewi. Wanakuambia, duuu nyie bado mnaishi stone age huko kwenu (sio kosa lao, wameanza kutumia hivi vyoo miaka mimgi saaana).
All in all unazoea tuu, mie navikalia more than ten years, sijapata UTI wala gonjwa la zinaa. Inabidi ukitumie sawa, wenye matatizo ni hao wasiotaka kuvitumia sawa na kuacha mamikojo yao kama sio vinyesi sehemu za kukalia, na wenzao wakijakalia wanachota magonjwa yao. Huko kwetu inabidi watu wapewe somo kuhusu hii kitu, na kuwe na maji 24/7. Manake hii vyoo bila maji, ni kasheshe tupu. Peace ou!
 
Mwenzenu vyoo vya kukaa huwa navipandia juu nachuchumaa, kwa raha zangu!

...Mkuu hii kwa haya masinki ya kichina sio njema sana. Kuna mtu alifanya hivyo sinki lilikuwa limechoka na likakatika na kumchana vibaya kwenye paja. Karibu apoteze maisha kutokana na kuvuja damu sana. Ilibidi abebebwe hivyo hivyo kupelekwa Hospitali akiwa na 'uchafu' wake...!

hahhahaaaa same here......
Yaani nikiwa hoteli mie nademand toilet paper....
Kwanza natandika toilet paper kwenye choo kuzuia kurukiwa na maji....
Then natandika kwenye sit hahafu napanda nadownlod hadi naridhika....

Style hii nilijifunzia chuo.....
Usiijaribu kama maji ya mawazo utaumbuka

mtakuja teleza siku na kuvunja migongo, ndio mtapata fundisho. Na hiyo mitoileti pepa mnayoiweka inajaza choo tuu na kukifanya kizibe. Yaani tunahitaji somo na hivi vyoo vya kukaa, ama sivyo..mhhh sijui!
 
...............mmmh ! aaah wapi, labda we unatumia magazeti !
 
Halafu huu utaratibu wa vyoo vya kukaa umezidi ktk public offices na maji hamna,balaa.
 
mtakuja teleza siku na kuvunja migongo, ndio mtapata fundisho. Na hiyo mitoileti pepa mnayoiweka inajaza choo tuu na kukifanya kizibe. Yaani tunahitaji somo na hivi vyoo vya kukaa, ama sivyo..mhhh sijui!

my dear heri nianguke kuliko kupata pangusa, UTI, na fungus kwenye vyoo vyenu vya kizungu.......

Choo hakizibi kutokana na toilet paper choo kinazidi wanawake w anatupa pedi kwenye hivyi vyoo.... Ndo maana unakuta vyoo vya wanaume havizibi.....

Hatuhitaji somo jinsi ya kutumia, tunahitaji mwamko wa kuweka vyoo vya kuchuchumaa sehemu za public
 
Mwenzenu vyoo vya kukaa huwa navipandia juu nachuchumaa, kwa raha zangu!

usirudie huo mchezo, huwa yanapasuka kama yai na ajali yake haielezeki. Magonjwa mengi ya ngozi huwa yanapatikana kupitia toilet seats
 
my dear heri nianguke kuliko kupata pangusa, UTI, na fungus kwenye vyoo vyenu vya kizungu.......

Choo hakizibi kutokana na toilet paper choo kinazidi wanawake w anatupa pedi kwenye hivyi vyoo.... Ndo maana unakuta vyoo vya wanaume havizibi.....

Hatuhitaji somo jinsi ya kutumia, tunahitaji mwamko wa kuweka vyoo vya kuchuchumaa sehemu za public

Vyoo vinaziba ukijaza mitoileti pepa bwana. Mie ninauhakika na ninachokisema. Nenda kafanye utafiti.
Mhh afadhali kuanguka kuliko kupata hayo magonjwa? Ndugu yangu kama huko chooni mpaka hutaki kukikalia choo ukianguka na kuumia, macomplication yake yatakua zaidi ya hiyo UTI unayoiogopa.

Ila nakubaliana na wewe kuweka mwamko vyoo vya kuchutama public places kwa ajili ya shida ya maji na kukosa ustaarabu kwa wengi wa watumiaji( uchafu uchafu tuu).
 
waulize wakazi wa udsm hall 2 na hall 5 mabweni yenye wakazi zaidi ya 1000 na bado wanashare vyoo vya kukalia..
kiukweli nilikuwa na maisha magumu sana pale chuoni hasa nikiwa nimebanwa na ukute maji yamekatika au hayapandi floor za juu ni ugonjwa wa moyo kwakweli

Ha ha umenikumbusha mbali sana ..MIMI nlikua namalizia shida zangu zote COET kabla cjarudi room au Naingia Vyoo vya Daruso ingawaje Daruso kulikua na traffic Jam sana for all the my life up to now sijawahi kata gogo kwenye choo cha kukaa
Nakumbuka siku moja nliwahi kumlau Arch-tech flan kwamba inakuaje wana design majengo na office zenye watu wengi then wanaweka option moja tu ya choo cha kukalia?
 
Tandika TOILET PAPER juu yake, then kata vitu as usual.
 
Vyoo vinaziba ukijaza mitoileti pepa bwana. Mie ninauhakika na ninachokisema. Nenda kafanye utafiti.
Mhh afadhali kuanguka kuliko kupata hayo magonjwa? Ndugu yangu kama huko chooni mpaka hutaki kukikalia choo ukianguka na kuumia, macomplication yake yatakua zaidi ya hiyo UTI unayoiogopa.

Ila nakubaliana na wewe kuweka mwamko vyoo vya kuchutama public places kwa ajili ya shida ya maji na kukosa ustaarabu kwa wengi wa watumiaji( uchafu uchafu tuu).

Toilet Paper inachanika na kubaki vipande inapokutana na maji,
Pedi haichaniki vipande, so ndio zinazozibaga vyoo.
 
Choo cha kukaa ni janga kwangu,
yaan nirukiwe na maji matakon!
Hiyo karaha siiwez,
mi nikikuta choo cha hivyo huwa napanda juu kwa umakini na kushusha sehem ya pemben then naflsh,
hivyo vyoo sijui kwa nn vimepitishwa kwa matumizi hata ya mme na mke havifai,
namlaum sana mvumbuzi
 
Vyoo Rafiki kwa Wazee Sana Na Wagonjwa Mahututi

Back
Top Bottom