PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
mimi huwa kuna kitu kinanitokea sijui kwa wengine, nikisafiri nikaenda kwa mtu naweza maliza siku 3 bila kujiskia kwenda toilet, yaan kama mazingira mageni sijui inakuwaje, huwa nakuwa confortable zaidi nikiwa mazingira ya home nilipozoeaHuwa inaleta shida namna ya kutumia maji kujisafisha kwenye hivi vyoo
Nyumba nnayoishi ina hichi choo huwa natumia hichi choo wakati nataka kuoga tu tofauti na hapo huwa siendi toilet
Kinawafaa wale wanaotumia tishu ambao hawatumii maji