dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,067
huu ulikua ndo mtihani wangu wa kwanza baada ya kuchaguliwa ud main campus dah
vyoo vya kukaa vichafu mamaee nilikua na ratiba ya kujisaidia vyoo vya class tu coet au theatre mule ndo nakatia gogo
sasa usiombe ukabanwa na gogo usiku dah mamaee nilikua najisaidia kama ngedere aisee nakanyaga juu ya sinki ilinichukua wiki 3 tu kuhama campus nikaenda zangu bbo