Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Sound proof vyoo hivyo mkuu. Fanya mazoezi ya kuvitumia, ni vyoo vizuri sana tu.
Nikwambie, yale masauti na mamiziki ambayo huzalishwa na mvurugiko wa tumbo, yote humezwa na hiyo "mashine".
Pia itakusaidi kadri umri unavyosonga, kuna ugonjwa wa magoti kuchuchumaa ujue!
 
Fact,dah yan matishu mimi cwezi asee yan nahis ntakua nanuka kimba kimba njia nzma uwiii!!
Mtu yeyote anaetegemea tishu katika huduma ya faragha ni dhahiri anatembea na uchafu na kama mtu anatembea na uchafu huyo ni mchafu, jamani, mkuu najua wewe unaelewa ila kuna watu hawajui kazi ya tishu ni nini, kiuhalisia kila choo lazima kiwe na maji mengi pia tishu iwepo kazi kubwa ya tishu ni kujifuta maji baada ya kujisafisha vizuri na maji ya kutosha inabidi ujifute kutumia tishu ilo usivae chupi/boxer na maji maji hii ni kuepuka kulowana na pia kujiepusha na fangasi watakaletwa na unyevu wa majimaji ya kila mata uendapo chooni, mkuu au nakosea? Lakini kina kucha bandia wakiingia wakikuta tishu basi kwao maji hayana kazi tena baadae akiambiwa ananuka anaanza ugomvi dada zangu mnaofuga kucha na kubandika hakika mungu anawaona na uchafu waaaooo!!!
 
Hivyo vyoo ni vya kishenzi sana.Utakuta mtu (wa kiume)kakojoa hapo juu halafu wewe unakuja kukalia mikojo yake.Na wakati mwingine msafishaji anatumia brush kusugua kwa ndani halafu anasafishia pia unapokalia na haweki dawa wala kumwaga maji ya kutosha.
Mimi huwa nikikaa kibamia changu lazima kiguse kwenye sinki na wakati fulani nilipata fangas kwenye shingo ya kibamia nikiwa Tanga, paliwasha na nilijikuna hadi pakachubuka.Hii ilipelekea kuwasikia redioni tu mabinti wa kitanga.
hapo kune brush...kusugua ndani af same same brush inasugua na pale pa kukalia chaaaa...nkiwazaga tu hivo[emoji21][emoji21][emoji21]...
 
zaman nilikua kama wewe bt now navipenda sana ....ila kwa public utanisamehe bure...vinaraha yake bt ujue namna ya kivitumia ....kwanza make sure pakukalia ni pakavu kama pana majimaji futa kwa tissue...weka tissue kiasi kwenye yale maji ili wakati mzigo unashusha shehena vile vimaji visikurudie.....kaa kabisa comfortable usikae kwa wasiwasi ...wasiwasi ndio chanzo cha wewe kurukiwa na vimaji maji ...if ur a man make sure kiba100 kimelala maana kama kimesimama uwezekano wa kukojoa nje ni mkubwa...wakati wa kujisafi anza na tissue then maji..kuna baadhi vina kale kabomba kadogo unaweza ukakatua kwa urahisi...kwa kopo ni mtihni kiasi...above all make sure choo ni kisafi na kinaoshwa kwa dawa a kuukia bacteria
ona sasa macomplication kibaaaao
 
Mtu yeyote anaetegemea tishu katika huduma ya faragha ni dhahiri anatembea na uchafu na kama mtu anatembea na uchafu huyo ni mchafu, jamani, mkuu najua wewe unaelewa ila kuna watu hawajui kazi ya tishu ni nini, kiuhalisia kila choo lazima kiwe na maji mengi pia tishu iwepo kazi kubwa ya tishu ni kujifuta maji baada ya kujisafisha vizuri na maji ya kutosha inabidi ujifute kutumia tishu ilo usivae chupi/boxer na maji maji hii ni kuepuka kulowana na pia kujiepusha na fangasi watakaletwa na unyevu wa majimaji ya kila mata uendapo chooni, mkuu au nakosea? Lakini kina kucha bandia wakiingia wakikuta tishu basi kwao maji hayana kazi tena baadae akiambiwa ananuka anaanza ugomvi dada zangu mnaofuga kucha na kubandika hakika mungu anawaona na uchafu waaaooo!!!
Umenena vyema mkuu,mi hata hizo kucha kufuga naonaga zitaingia nnya zitaingia nnya nkijitawaza[emoji23][emoji23]nahisi hata nikinawa bado vdole vitanuka nnya
 
Cha kulala utakipata siku moja
kuna kimoja niliona aisehhh?
Hasa Ukate Huku Umeingia na Smart Una Scroll Nyuzi Za JF hadi raha Aisee[emoji23][emoji23]

@m G00d Br0ther
hahhahahahhaha mambo ya kustareheka haya yeye anataka akate gogo kama anapiga squash bana
 
Attachments

  • bbb.jpg
    bbb.jpg
    10.8 KB · Views: 130
Huwa najiuliza inakuaje mtu anaanza kupanda juu ya vile vyooo? Yaani sijawahi elewa kabisa badala ya kukaa watu wanasema wanakanyaga.

Swali ni kwamba hiyo balance ya kukanyaga na kushusha mzigo wanatoa wapi raia?
 
Ukiwa huna Experience Ndyo matatizo huanzia hapo

@m G00d Br0ther
 
Huwa inaleta shida namna ya kutumia maji kujisafisha kwenye hivi vyoo
Nyumba nnayoishi ina hichi choo huwa natumia hichi choo wakati nataka kuoga tu tofauti na hapo huwa siendi toilet
Kinawafaa wale wanaotumia tishu ambao hawatumii maji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom