Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Wee upigwe marufuku kunya. Uruhusiwe kujamba tu chini ya uangalizi wa Ndugai
 
WaTz wengi wanabambwa Lusaka kwa kuchuchumaa kwenye hivyo vyoo vya kukaa. Kile kituo cha mabasi cha Intercity kina mgambo maalumu wa kuchungulia kama unatumia choo ipasavyo.
 
Utakuwa una mwili mkubwa sana, kiasi kwamba choo cha kukaa kwako ni sawa na kapoti ka mtoto mdogo...



cc: mahondaw
 
Mkuu mi nkitembelea sehemu na kukuta choo cha kukaa nasepa mapema kama nlikua na mpango wa kukaa wiki nakaa Siku moja ,kunya ni starehe bhana na starehe hii ni Kwa vyoo vy kuchuchumaa,hivi vya kukaa ni karaha tupu
 
hivyo vyoo vya kukaaa siyo ishu kabisa yani ukitaka wageni kutoka kijijini kwenu wasije kukutembelea simple weka choo cha kukaa nyumbani
 
Dumbukia humo humo kama jamaa yetu wa lagamba.
IMG-20160823-WA0001.jpg
 
Una ule ubaridi unaoupata ukikalia vyoo hivi dah.. Kila kitu ni mazoea ..utazoea mkuu
 
Habari zenu humu ndani mwajionaje na hali,

Nimezaliwa Dar nimekulia Dar lakini kusema ule ukweli hii ni kama mara ya 6 nashindwa kutekeleza mujarabu huduma ya haja kubwa ninapokuta choo cha kukaa niko radhi nifunge choo siku nzima au nitafute chaka yaishe

Kuna siku uzalendo ulinishinda nikavua nikakanyaga kwenye kingo za round zile ila dah aina hii za vyoo vinanitesa sana sana.

Siyo ushamba! Ila ni makuzi tu
 
Kuna jamaa alikuwa na phobia kama ya kwako. Alialikwa kwenye party ya watu wenye pesa ndefu, alipotaka kujisaidia choo ni kisafi, kila corner vioo mpaka tiles za sakafuni unajiona

Jamaa alivua socks akashusha mzigo, alifikiria aitupe dirishani na parcel lake amalize. Wakati anaitupa socks dirishani ikafunguka. Kinyesi kilitapakaa ukutani.

Kwakuwa wale watu ni wastaarabu sana, cleaner alikuwa anakwenda kila baada ya lisaa kusafisha. Alimkuta jamaa ana fikiria atatokaje aache hali ile.

Alimwambia cleaner nitakupa laki moja kama utasafisha hiki kinyesi ukutani.

Cleaner alibaki na mshangao alimwambia nitakupa laki mbili ukinifahamisha hiki kinyesi kimefikaje ukutani!!
 
Back
Top Bottom