Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Kwahio una choo cha shimo nyumbani kwako? Nahisi ni makuzi kama umekulia choo cha shimo cha kukaa hukiwezi.
naaam umesema kwli kabisaaa..mimi navichukia vyoo vya kuchuchumaa na sijawahi kuvipenda aiseee..kwanza kujisaidia kwake nimpka uvue nguo zote za chini ndio unajiskia huru ..wakati vile vyakukaa washusha tu nguo kiasi then wafnya mambo yako...nilikulia katka mazingira ya vyoo vya kukaa nampka leo nimejikuta navipnda mnoo
 
Uzuri wa choo ni kuchutama bhana yaani ni full raha hakuna starehe nzuri kama ya kukata mzingo
Hasa Ukate Huku Umeingia na Smart Una Scroll Nyuzi Za JF hadi raha Aisee

@m G00d Br0ther
 
Daa kumbe tupo wengi, choo cha kukaa ni kikwazo kwakweli, kujisaidia umekaa kinyeshi kinadumbikia afu maji ya choo yanakurudia
 
naaam umesema kwli kabisaaa..mimi navichukia vyoo vya kuchuchumaa na sijawahi kuvipenda aiseee..kwanza kujisaidia kwake nimpka uvue nguo zote za chini ndio unajiskia huru ..wakati vile vyakukaa washusha tu nguo kiasi then wafnya mambo yako...nilikulia katka mazingira ya vyoo vya kukaa nampka leo nimejikuta navipnda mnoo
Asilimia Kubwa Mnaopenda Vyoo Vya Kukaa Mnatumia Private Transport

Usije Kupanda Usafiri Wetu wa Kila Siku utaumbuka Na kaharufu Kale Maana Huwezi Jisafisha Vizuri kwa Toilet Paper bila Kuacha fragments Kwenye Njia

@m G00d Br0ther
 
Huko peke yako kutumia hivyo vioo unahitaji mazoezi ni vibaya na humalizi haja vizuri sio ushamba ila pendelea kuvifanyia mazoezi
Hivi vyoo huwa naviogopa sana. Hata kingekuwa cha kwangu ningeweka cha kawaida sabb ni rahisi sana kupata magonjwa. Ukae hapo, na siku hizi kuna magonjwa mengi sana
 
Mie bhana vyoo vya kukaa huwa sijiskii sawa, nikikikuta sehemu huwa nalazimika kupanda juu nichuchumae..
 
Kuna jamaa alikuwa na phobia kama ya kwako. Alialikwa kwenye party ya watu wenye pesa ndefu, alipotaka kujisaidia choo ni kisafi, kila corner vioo mpaka tiles za sakafuni unajiona

Jamaa alivua socks akashusha mzigo, alifikiria aitupe dirishani na parcel lake amalize. Wakati anaitupa socks dirishani ikafunguka. Kinyesi kilitapakaa ukutani.

Kwakuwa wale watu ni wastaarabu sana, cleaner alikuwa anakwenda kila baada ya lisaa kusafisha. Alimkuta jamaa ana fikiria atatokaje ache hali ile.

Alimwambia cleaner nitakupa laki moja kama utasafisha hiki kinyesi ukutani.

Cleaner alibaki na mshangao alimwambia nitakupa laki mbili ukinifahamisha hiki kinyesi kimefikaje ukutani!!
 
Hivi vyoo hata mi siviwezi,nikienda sehemu nikute choo cha namna hii hata mkojo na nnya hua vinarudi vilikotoka aiseee yan hua nna kakinyaa flani dah!!tena kama ndo unashusha nnya lilidondoka tu kwenye sinki mimaji inakurukia uuuwi!!!sivipendi kwel hiv vyoo
 
Hivyo vyoo ni vya kishenzi sana.Utakuta mtu (wa kiume)kakojoa hapo juu halafu wewe unakuja kukalia mikojo yake.Na wakati mwingine msafishaji anatumia brush kusugua kwa ndani halafu anasafishia pia unapokalia na haweki dawa wala kumwaga maji ya kutosha.
Mimi huwa nikikaa kibamia changu lazima kiguse kwenye sinki na wakati fulani nilipata fangas kwenye shingo ya kibamia nikiwa Tanga, paliwasha na nilijikuna hadi pakachubuka.Hii ilipelekea kuwasikia redioni tu mabinti wa kitanga.
 
Kuna jamaa alikuwa na phobia kama ya kwako. Alialikwa kwenye party ya watu wenye pesa ndefu, alipotaka kujisaidia choo ni kisafi, kila corner vioo mpaka tiles za sakafuni unajiona

Jamaa alivua socks akashusha mzigo, alifikiria aitupe dirishani na parcel lake amalize. Wakati anaitupa socks dirishani ikafunguka. Kinyesi kilitapakaa ukutani.

Kwakuwa wale watu ni wastaarabu sana, cleaner alikuwa anakwenda kila baada ya lisaa kusafisha. Alimkuta jamaa ana fikiria atatokaje ache hali ile.

Alimwambia cleaner nitakupa laki moja kama utasafisha hiki kinyesi ukutani.

Cleaner alibaki na mshangao alimwambia nitakupa laki mbili ukinifahamisha hiki kinyesi kimefikaje ukutani!!
Hahahahhaaaaa
 
zaman nilikua kama wewe bt now navipenda sana ....ila kwa public utanisamehe bure...vinaraha yake bt ujue namna ya kivitumia ....kwanza make sure pakukalia ni pakavu kama pana majimaji futa kwa tissue...weka tissue kiasi kwenye yale maji ili wakati mzigo unashusha shehena vile vimaji visikurudie.....kaa kabisa comfortable usikae kwa wasiwasi ...wasiwasi ndio chanzo cha wewe kurukiwa na vimaji maji ...if ur a man make sure kiba100 kimelala maana kama kimesimama uwezekano wa kukojoa nje ni mkubwa...wakati wa kujisafi anza na tissue then maji..kuna baadhi vina kale kabomba kadogo unaweza ukakatua kwa urahisi...kwa kopo ni mtihni kiasi...above all make sure choo ni kisafi na kinaoshwa kwa dawa a kuukia bacteria
 
Mie ofcn kwetu huwa naeka ma tishu ya kutosha kuzunguka shimo na ndani ya maji ndio nashusha mzigo
 
Asilimia Kubwa Mnaopenda Vyoo Vya Kukaa Mnatumia Private Transport

Usije Kupanda Usafiri Wetu wa Kila Siku utaumbuka Na kaharufu Kale Maana Huwezi Jisafisha Vizuri kwa Toilet Paper bila Kuacha fragments Kwenye Njia

@m G00d Br0ther
hahaaa mkuu labda nikueleze tu ..katka maisha yangu cjawahi kutumia toilet paper ..nasitamani hata kuzitumia..huwa najua kuwa haziwezi kukufnya uwe msafi kama maji..then kuna mtu nashangaa kauliza ukitumia vile vyoo wajisafisha vipi ..Mbona siku hizi kuna yale mabomba yanayo toa pressure kubwa mnoo ya maji ..ukiyapitisha Yale maji mahala husika ..huwezi bakiwa na uchafu
 
Uzoefu utakuwa nao pana vyoo uswahilini yaani ukikata gogo unalipigia hesabu linasafiri km ngapi kwa saa kisha unanyanyuka kidogo linapofika chini coz linarusha maji sasa ukibung'aa rojo yote inakuingia uswazi inaitwa kudanki (dunk).
 
Binafsi navipenda hivi vyoo but visiwe vyakushare.Kikiwa kisafi unaweza ukakaa hata nusu saa unakata gogo huku umerelax unaperuz tu mtandaon au unasoma gazeti very comfortable.
 
Vimenipa shida sana hivi pale Udsm Hall4, 7, Coet! Loooh! Acheni tu jamani maisha yale siyo kabisa
 
hahaaa mkuu labda nikueleze tu ..katka maisha yangu cjawahi kutumia toilet paper ..nasitamani hata kuzitumia..huwa najua kuwa haziwezi kukufnya uwe msafi kama maji..then kuna mtu nashangaa kauliza ukitumia vile vyoo wajisafisha vipi ..Mbona siku hizi kuna yale mabomba yanayo toa pressure kubwa mnoo ya maji ..ukiyapitisha Yale maji mahala husika ..huwezi bakiwa na uchafu
nimekulia kwenye familia kubwa sana ya choo cha kulenga ...tulifunzwa kutumia toilet paper badala ya maji binafsi ni njia bora kuliko maji...na ubora wake ni kwamba hushiki kinyesi na mkono...pili kwa wanawake uwezekano wa kupata uti unapungua coz wanapaswa wajisafishe kurudi nyuma so kwa toilet paper ni rahisi...kuna watu wanamakucha marefu huwa nawaangalia tu haswa wanawake najiuliza kwa maji huwa wanajisafisha vipi? kwa toilet paper hata kama kucha ni ndefu huwezi kuzitia kinyesi....huwa najiuliza sana maji ya kikopo cha lita moja mtu anatakata vipi?? familia nyingi za uswazi unamuona mtu na kakopo tena kako nusu anaenda msalani hivi huwa wanatakata vipi? maji ni mazuri kama yako mengi na watu hawachangii makopo lakin ki magomeni aloo tusitaniane ...sitoiagi mkono mimi ..ni tano mwanzo mwisho na nikitoa lazima nifanye mpango wa kunawa faster......nakushauri sana penda tissue na maji ndio utakua msafi lakini na kijikopo chako ndugu uko hatarin.....huwa sipendi kula kwa watu coz nikiwa mdogo kuna nilienda mahali kuna wapangaji..mama mmoja akawa anakata kat mboga mara paap akaenda kukata gogo na kikopo aliporudi na mikono yake yenye maji akaendelea na kukata mboga asee nilivyojisikia mpaka leo sipendi kabisa wanajisafi na vikopo....tissue kubwa nikaliza nawa mikono na sabuni maisha yanaendela
Mi nilishindwaga Blue Pearl pale, nikaenda kukatia gogo nyumbani
 
Back
Top Bottom