Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Kuna jamaa alikuwa na phobia kama ya kwako. Alialikwa kwenye party ya watu wenye pesa ndefu, alipotaka kujisaidia choo ni kisafi, kila corner vioo mpaka tiles za sakafuni unajiona

Jamaa alivua socks akashusha mzigo, alifikiria aitupe dirishani na parcel lake amalize. Wakati anaitupa socks dirishani ikafunguka. Kinyesi kilitapakaa ukutani.

Kwakuwa wale watu ni wastaarabu sana, cleaner alikuwa anakwenda kila baada ya lisaa kusafisha. Alimkuta jamaa ana fikiria atatokaje aache hali ile.

Alimwambia cleaner nitakupa laki moja kama utasafisha hiki kinyesi ukutani.

Cleaner alibaki na mshangao alimwambia nitakupa laki mbili ukinifahamisha hiki kinyesi kimefikaje ukutani!!
Há há há há aah kweli hiyo ilipendeza
 
aiseeee mimi huwa navipnda sana hvyo vyoo ..vile vingine huwa naviona kama vyanipa shida naurefu wote huu mpka kuchuchumaa daaah tabu mnooo ..halafu usiwe na tabia yakupnda juu ya hvyo vyoo mkuu huwa vina tabia ya kupasuka IPO siku utpata ajali ukatwe makalio mpka tigo Pesa yote
Wallah nimecheka Sana mkuu
 
Maji utatumiaje sasa na huku umekaa?
Maji mbona unatumia tu bila shida kabisa mkuu? Na ukitaka kukifurahia kile choo usivue nguo nusunusu vua zote weka kule kaa sasa jichanue vema mzigo unatoka vema kabisa tena kwa raha zako
 
Mi napenda cha kukaa haswa kiwe cha peke yangu nakunya huku nachart
 
1f728c68e6f36077587bba56ba46b2f7.jpg
Raha mustarehe chumbani kwangu
Doh[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] Mtihani huo

@m G00d Br0ther
 
Hii aina ya choo inakwenda sambamba na ulaji wa vyakula ambavyo hutengeneza choo laini.

Sio unakula ugali wako wa mtama then unakuja kukata gogo gumu linadunda kama kitenesi kisha utegemee kuwa utalimaliza hapo lazima uondoke na mzigo nusu haujakatika upo tumboni.
Shida ni inya kama huna mazoea haisukumi mzigo kwakuwa ukikaa hainyooki inajikunja hivyo inakosa balance ya kusukuma sio aina ya chakula Shida kubwa nyingine ni wakati wa kutawaza lazima ubinuke kweli hapo
 
Kuna jamaa alikuwa na phobia kama ya kwako. Alialikwa kwenye party ya watu wenye pesa ndefu, alipotaka kujisaidia choo ni kisafi, kila corner vioo mpaka tiles za sakafuni unajiona

Jamaa alivua socks akashusha mzigo, alifikiria aitupe dirishani na parcel lake amalize. Wakati anaitupa socks dirishani ikafunguka. Kinyesi kilitapakaa ukutani.

Kwakuwa wale watu ni wastaarabu sana, cleaner alikuwa anakwenda kila baada ya lisaa kusafisha. Alimkuta jamaa ana fikiria atatokaje aache hali ile.

Alimwambia cleaner nitakupa laki moja kama utasafisha hiki kinyesi ukutani.

Cleaner alibaki na mshangao alimwambia nitakupa laki mbili ukinifahamisha hiki kinyesi kimefikaje ukutani!!
Duu!! Yakweli hayo.maana nimecheka sana.
 
nimekulia kwenye familia kubwa sana ya choo cha kulenga ...tulifunzwa kutumia toilet paper badala ya maji binafsi ni njia bora kuliko maji...na ubora wake ni kwamba hushiki kinyesi na mkono...pili kwa wanawake uwezekano wa kupata uti unapungua coz wanapaswa wajisafishe kurudi nyuma so kwa toilet paper ni rahisi...kuna watu wanamakucha marefu huwa nawaangalia tu haswa wanawake najiuliza kwa maji huwa wanajisafisha vipi? kwa toilet paper hata kama kucha ni ndefu huwezi kuzitia kinyesi....huwa najiuliza sana maji ya kikopo cha lita moja mtu anatakata vipi?? familia nyingi za uswazi unamuona mtu na kakopo tena kako nusu anaenda msalani hivi huwa wanatakata vipi? maji ni mazuri kama yako mengi na watu hawachangii makopo lakin ki magomeni aloo tusitaniane ...sitoiagi mkono mimi ..ni tano mwanzo mwisho na nikitoa lazima nifanye mpango wa kunawa faster......nakushauri sana penda tissue na maji ndio utakua msafi lakini na kijikopo chako ndugu uko hatarin.....huwa sipendi kula kwa watu coz nikiwa mdogo kuna nilienda mahali kuna wapangaji..mama mmoja akawa anakata kat mboga mara paap akaenda kukata gogo na kikopo aliporudi na mikono yake yenye maji akaendelea na kukata mboga asee nilivyojisikia mpaka leo sipendi kabisa wanajisafi na vikopo....tissue kubwa nikaliza nawa mikono na sabuni maisha yanaendela
Mhh mkuu ubaya wa tishu hata ukijifuta vizuri lazima kaharufu kawepo uwii,mi bila maji asee siwezi,tena maji ya kutosha sio hayo ya nusu kopo
 
Jiangalie vzr mkuu,mafi yanakuhusu unajifuta na karatasi afu nduki?Wenzako wanatumia tissue+maji,we unatumia tissue tu.

Unakomaza tu huo mkufundu na hizo karatasi "tissue" hahah
Fact,dah yan matishu mimi cwezi asee yan nahis ntakua nanuka kimba kimba njia nzma uwiii!!
 
Fanyia mazoezi,havina shida hata mimi vilinipa shida miaka hiyo ila sasa niko vizuri..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom