Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,060
Wengne mashine hutumbukia na kugusa kuta,so inabid tukikaa tuishikilie mashine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
sijawahi vikubali hivi vyoo....
binadamu twahitaji chuchumaa ili tutoe kubwa.
Na kiusafi si salama kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaWengne mashine hutumbukia na kugusa kuta,so inabid tukikaa tuishikilie mashine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikukuta umepanda juu ili uchuchumae ole wako.Cha kukaa ndiyo kizuri kwa wanaume na wanawake. Cha kukaa unaweza kuchuchumaa kama unataka.
Hili tangazo la kuvutia pmWengne mashine hutumbukia na kugusa kuta,so inabid tukikaa tuishikilie mashine
Sent using Jamii Forums mobile app
Choo cha kukaa kinamfaa mgonjwa tu na yeye kwa sababu ya udhaifu wa mwili tu. Otherwise, naturally tumeumbwa kuchuchumaa....Hivi ni choo gani bora kati ya vile vya kukaa na kuchuchumaa?
Binafsi naona vya kuchuchumaa ni bora na kiasi fulani ni hygenic hasa kwa mazingira ya sehemu za jamii kama mashule,vyuo,ofisi na hata familia zenye watu wengi.
Je kuna sababu yeyote ya watu kupendezewa zaidi kuweka vyoo vya kukaa?
Nawasilisha kwa mjadala.
View attachment 696442
choo cha kulala mzigo utaushushajeNasikia vipo mbk vya kulala
Mabibi na Mababu zako wangapi wameugua STROKE kwa kuchuchumaa chooni?Choo cha kuchuchumaa kinasababisha strain kwenye uti wa mgongo; kinaweza kukusabishia stroke!!
PoleNilipokuwa chuo nilikuwa napenda vya kuchuchumaa kwa sababu ya usafi na matumizi ya watu wengi lakini pia wakati huo kitambi kilikuwa kidogo, siku hizi natumia choo changu na mke wangu tu na pia likitambi limekuwa kubwa choo cha kuchuchumaa ni zaidi ya dhabu.