Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Amazing,preta mmetisha,jaman sijui hawa wanaume wanatakaje,wao wanalewa mpaka kulala kwenye mitaro lakin sis tukionja tuu ni shedaaaa vikao vya kutosha,najiuliza wakati una date nae alikuwa vepeeee,mlokole au???acheni hizo,kwa wanawake si walevi Bali waonjaji lol khaaa
Unaonja chupa kumi...
 
Mimi natumia lakini kamwe mwanamke mlevi sishauri MTU aoe kwa sababu zifuatazo;
-Majukumu ya mama ni very sensitive Kwa watoto kulinganisha na baba.
-Hygiene ya walevi wengi hua ni ndogo Kwa mwanamke ni more risk,refer matokeo ya pombe kukojoa Mara Kwa Mara kumbuka kuna UTI etc.
-Uzazi, akiwa na pregnancy ina madhara kwa mtoto.
- Akiwa ananyonyesha mtt anaweza kukua na character za ulevi.
- Anaweza kuchepuka akilewa as madhara ya low control. Kwa mwanaume unaweza lewa hakuna atakaeku sumbua ila Kwa mwanamke akilewa watu wanawaza this is a whore.
- Economic reason, wamama ndio wabanaji wa ela asa akiwa mlevi .... Sijui atasave namna gani.

Mule mule
 
Pombe sio chai nyie mademu...[emoji23]ubongo unakua na mwendo kasi siku ukipigika kdgo basi dume likikupa ka offer na kalift kwenye benz na keshoyake ana kutext.."nipo sea breez hapa beer kbaoo"unachomoka kama altezza kwann usiwe unagongwa kwa addiction ya mapombe..!mwanamke mlevi SIO
 
Kiukweli mademu walevi wanakatwa hovyohovyo sana.....
 
Pombe sio chai nyie mademu...[emoji23]ubongo unakua na mwendo kasi siku ukipigika kdgo basi dume likikupa ka offer na kalift kwenye benz na keshoyake ana kutext.."nipo sea breez hapa beer kbaoo"unachomoka kama altezza kwann usiwe unagongwa kwa addiction ya mapombe..!mwanamke mlevi SIO
Ila ni kweli mana wakipewa offer kukatas ni ngumu mwishowe watu wanapiga vyombo.
 
Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae?? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi. Na kingine mwanamke akinywa pombe naona anakua kwenye risk ya kuchepuka kwa sababu anaweza akapata offer ya mwanaume akalewa watu wakajilia vyao. Wadau nyie mnalionaje hili swala na kama ishakutokea uliwezaje kutatua.

Namshukuru Mungu nimeacha kunywa pombe huu ni Mwaka wa 4..... sasa Nimepungua uzito kiasi cha kutosha tuu kwa kitendo cha kuacha Lager.... It feels good kwa Kweli....
 
Namshukuru Mungu nimeacha kunywa pombe huu ni Mwaka wa 4..... sasa Nimepungua uzito kiasi cha kutosha tuu kwa kitendo cha kuacha Lager.... It feels good kwa Kweli....
Ulifanya nn mpaka ukaacha??
 
Hili ulipaswa uliwaze wakati wa kutafuta mke. Vigezo vyako havikujumuisha kutokunywa pombe?
Mwanamke mlevi hata **** yake inanukia hizo pombe !!
Yaani hakuna hug, hakuna mwaaa !!@ ukijaribu ni ulevi mtupu !!
Pole mdau
 
Ulifanya nn mpaka ukaacha??

Nilifanya maamuzi ya kutokunywa pombe nilipokuwa mjamzito kwa manufaa ya mtoto wangu kipindi hicho.... Nilipojifungua nikawa nanyonyesha na toka hapo sikuendelea tena kupiga maji .... Nilidhamiria ndani yangu kuwa pombe sasa basi.... Na ndivyo imekuwa...
 
Hongera kwa maamuzi mazito mana naskia kuacha bia sio kazi ndogo
 
Hili ulipaswa uliwaze wakati wa kutafuta mke. Vigezo vyako havikujumuisha kutokunywa pombe?
Mwanamke mlevi hata **** yake inanukia hizo pombe !!
Yaani hakuna hug, hakuna mwaaa !!@ ukijaribu ni ulevi mtupu !!
Pole mdau
Mkuu shukran...
 
Hongera kwa maamuzi mazito mana nasikia kuacha bia sio kazi ndogo

Asante sana. Japo marafiki wana mitazamo yao pia unapoacha pombe.... ila hainisumbui kwa sababu nimedhamiria kutokurudi kwenye pombe..... Hata ile kiu sina tena kabisa ..... useme ninunue Hata Amarula nikanywee nyumbani sikumbuki wala .... Namshukuru Mungu sana kwa hatua hii.
 
Kuna tukio moja lilitokea huku moshi.mwanamke alikuwa mlevi inafkiwa analewa hadi anapigwa mtungo.kibaya zaidi hata mume akiweka ela vibaya mwanamke anapita nazo kwenda kuzinywea.ilifkia akikata moto baa masela wanambeba na toroli au begani kumrudisha nyumbani.mume alikemea sana swala hilo ila mke hakuskia siku hiyo kama kawaida mama karudishwa na vijana amelewa usiku huku mapajani unashuka ujiuji siku ndo mume alipoamua kumkata mke nyeti zote na kuzipeleka kwa mama wa mke!
 
Asante sana. Japo marafiki wana mitazamo yao pia unapoacha pombe.... ila hainisumbui kwa sababu nimedhamiria kutokurudi kwenye pombe..... Hata ile kiu sina tena kabisa ..... useme ninunue Hata Amarula nikanywee nyumbani sikumbuki wala .... Namshukuru Mungu sana kwa hatua hii.
Jambo jema..Marafiki nao sio wazuri mda mwingine na kama umeweza kukimbia hilo inaonyesha wewe sio bendera fwata upepo kama wengine. Unajielewa
 
Wanawake wanaiga sana mambo ya ulevi hasa watoto wa kike vyuoni anaweza hasile vizuri hili aonekane mjanja kwenye castle light jioni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom