Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Sasa ukinywa na your man akiwa hayupo inakuaje..Tuseme upo na mwanaume mwingine na ndo hvy nyeg zimekupanda
Huwa sinywi , ......sanasan nikanywee om kwangu.. zikipanda ntajua jinsi ya kuzishusha 🙄🙄
 
Hapa mimi nitakuwa nasoma tu posti za Walevi.
 
Hahaha kaka kumbe na wewe wa kizamani eeh? Mwanamke mlevi Ana raha yake. Waulize wenzio wakuambie faida zake.

(Kama ukiona hafai kuwa mke si unampa promo tu anakuwa mchepukwa?)
Apoa kwenye mchepuko ndo patam
 
  • Thanks
Reactions: irk
Hahaha kaka kumbe na wewe wa kizamani eeh? Mwanamke mlevi Ana raha yake. Waulize wenzio wakuambie faida zake.

(Kama ukiona hafai kuwa mke si unampa promo tu anakuwa mchepukwa?)
Hata akiwa mchepuko shida iko pale pale..Hizo harufu za bia hata siziwezi
 
Hahaha kaka kumbe na wewe wa kizamani eeh? Mwanamke mlevi Ana raha yake. Waulize wenzio wakuambie faida zake.

(Kama ukiona hafai kuwa mke si unampa promo tu anakuwa mchepukwa?)
Kweli dada, mimi ni old fashion kishenzi yani. Japo najua utamu wa kudate na mlevi, hasa "jikoni" ila ni too risky kumfanya mama wa watoto wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom