Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Looooooh!!! Kama haunywi utakuwa siyo mtamu, mimi huwa napenda wadada wanavyorembua macho pombe zikipanda kichwani!!
Unaweza kurembua kama paka anafika kileleni na wala ucwe mtamu..yan ivo vitu hata havihusiani...sema inanogesha tu...kwa mfano mwenyewe macho vya kichina akirembua utamuelewa ww??[emoji30][emoji30][emoji30]
 
mie napenda sana , mwanaume ninaekuwa nae aninunulie sana castle milkstout baada ya hapo...atatoa adith zot za kwao loooh!
Mwanamke/Mwanaume mlevi wanatakiwa waishi pamoja ndio maisha yataenda vizuri.Lakini kama mmoja kati yao hatumii alcohol hakutakuwa na usawa since kwa mtu asiyekunywa pombe ile harufu inakera sana .
 
Namshukuru Mungu nimeacha kunywa pombe huu ni Mwaka wa 4..... sasa Nimepungua uzito kiasi cha kutosha tuu kwa kitendo cha kuacha Lager.... It feels good kwa Kweli....

Hongera sana bibie msweet. Kwanini uliamua kuacha pombe? Na uliwezaje kuacha. It will be interesting kusikia uzoefu wako best
 
Asante sana. Japo marafiki wana mitazamo yao pia unapoacha pombe.... ila hainisumbui kwa sababu nimedhamiria kutokurudi kwenye pombe..... Hata ile kiu sina tena kabisa ..... useme ninunue Hata Amarula nikanywee nyumbani sikumbuki wala .... Namshukuru Mungu sana kwa hatua hii.

Kwahiyo unawezaje kukabiliana na vishawishi vya "marafiki"? Mara nyingi marafiki wamekuwa wakisemaje baada ya wewe kuacha kunywa? Pole kwa kukuchosha na maswali but naona kuna kitu cha kujifunza. Thanks bidada
 
Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi.

Na kingine mwanamke akinywa pombe naona anakua kwenye risk ya kuchepuka kwasababu anaweza akapata offer ya mwanaume akalewa watu wakajilia vyao.

Wadau nyie mnalionaje hili swala na kama ishakutokea uliwezaje kutatua.
Hamna kitu 'sexy' kama mtoto mzuri akichangamka kidooogo....yaani anywe kiasi ka aibu katoke, acha tu!
 
Sana tu.....njoo unisaidie kupokea hela ya vitunguu.....ndio nauza.......
Duh halafu nimeahidi mpaka nouma......kuna project inanizingua otherwise ningeibuka hata weekend hii...ila nitaku surprise soon.
 
Inataka moyo wa kwel kuish na mwenzio anayekunywa we hunywi binafs mim situmii aina yeyote ya alcohol yan noun alcohol bas sitak au nisengependa kuja kuoelewa na mtu anayetumia kilevi ki ufupi mtu mlev ananuka pombe mpaka nguo zake yan had jasho lake linanuka pombe tu hapa apake perfume ni Bure. Mungu anisaidie kwa kweli nisiangukie huko kwa kwel
 
Kwahiyo unawezaje kukabiliana na vishawishi vya "marafiki"? Mara nyingi marafiki wamekuwa wakisemaje baada ya wewe kuacha kunywa? Pole kwa kukuchosha na maswali but naona kuna kitu cha kujifunza. Thanks bidada

Kwanza kuna marafiki ambao walikuwa wanajua napiga maji mbaya kipindi hicho.... Wanakuwa surprised kuwa sinywi pombe hata kuonja kwa muda mrefu sasa.... Kuna ambao wanapiga vijembe kuonyesha kuwa nimekuwa mshamba ghafla eeee yaani unaacha kunywa pombe sasa unakunywa nini.... na vikejeli vya kiaina.... I really dont care very much.... Naendelea kusisitiza kuwa kiasi cha pombe nilichotumia huko nyuma nafikiri kimenitosha na so far sikumbuki faida kubwa sana niliyopata kwa kula maji kipindi hicho blablablablabla..... na hakuna namna narudi kutumia pombe .... vitu kama hivyo ..... wengine wanacheeeeka yaani kuona nimepotea mbaya.... Kwangu hainisumbui.... Tutaagana narudi nyumbani kwangu kufurahi na familia.....
 
Namshukuru Mungu nimeacha kunywa pombe huu ni Mwaka wa 4..... sasa Nimepungua uzito kiasi cha kutosha tuu kwa kitendo cha kuacha Lager.... It feels good kwa Kweli....
Kile kitambi chako bado kipo dear?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom