Mkuu ya kweli hii ishu??Kuna tukio moja lilitokea huku moshi.mwanamke alikuwa mlevi inafkiwa analewa hadi anapigwa mtungo.kibaya zaidi hata mume akiweka ela vibaya mwanamke anapita nazo kwenda kuzinywea.ilifkia akikata moto baa masela wanambeba na toroli au begani kumrudisha nyumbani.mume alikemea sana swala hilo ila mke hakuskia siku hiyo kama kawaida mama karudishwa na vijana amelewa usiku huku mapajani unashuka ujiuji siku ndo mume alipoamua kumkata mke nyeti zote na kuzipeleka kwa mama wa mke!
Pigia mstari kabisaMkuu ya kweli hii ishu??
Waache waje mkuu..Ni vizuri watoe mawazo yao kuhusu hii ishuPoster umetia mkono kwenye mzinga wa nyuki, wameenda kuitana zaid
Basi siku ukija kumsalimia mama nitakununulia safari za kutosha my sis!Hapana bro, me nakunywa sio mlevi kaka
Kaka hizo ngumu kumesaaBasi siku ukija kumsalimia mama nitakununulia safari za kutosha my sis!
Wacha weeeeeeee!!!!!Hahaha kaka kumbe na wewe wa kizamani eeh? Mwanamke mlevi Ana raha yake. Waulize wenzio wakuambie faida zake.
(Kama ukiona hafai kuwa mke si unampa promo tu anakuwa mchepukwa?)
Kinoma!!!!!Apoa kwenye mchepuko ndo patam
[emoji15] [emoji15] [emoji111]Kinoma!!!!!
Tunaangalia risk factor..Mwanamke anakua yupo kwenye risk akilewa tofauti na mwanaume.Wanaume bana..wao kunywa ni sawa,lakini akinywa mwanamke ni nongwa..wao kuchepuka ni sawa lakini akichepuka mwanamke ni Malaya....
Sawa, lakini wanaume tumezidi kuwaonea wanawake...tukifanya sisi ni sawa,wakifanya wao nongwa....chill out!Tunaangalia risk factor..Mwanamke anakua yupo kwenye risk akilewa tofauti na mwanaume.
mie napenda sana , mwanaume ninaekuwa nae aninunulie sana castle milkstout baada ya hapo...atatoa adith zot za kwao loooh!
we mwanamke au me?Kinjumbi ni PM mi nataka kutoa hadithi zote za kwetu baada ya milk stout. PM fastaView attachment 353903
Ha ha ha!huwa nikiwa nahamu ya kutmbw na my man huw nainjoy sana nikijipigia zangu 2,3
Looooooh!!! Kama haunywi utakuwa siyo mtamu, mimi huwa napenda wadada wanavyorembua macho pombe zikipanda kichwani!!mi sinywi...