Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
- #101
Wewe mnywaji sio mlevi..Kila mtu ana kiasi chake.....mwingine chupa 10 ndiyo kiasi chake...
Wewe mnywaji sio mlevi..Kila mtu ana kiasi chake.....mwingine chupa 10 ndiyo kiasi chake...
Hahaaaa.....tena uwa ananinunulia kabisa.
Daaah!!! Unafaa!Burudani..,..............na babe akiwa pembeni ndiyo kabisa.
Kama ndio hivyo nitakupa ofa ya kilaji next week ili namimi nipewe hizo hadithi unazozisemea[emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125]yah huwa zinanletea nye. .. sana , hasa kama najua naenda faragha na my man
Hahaaa......hvyo vitu anajua babe tu.......sasa nikitaja hapa jamani nitakuwa nimetoa siri ya chumbani.Sasa kwa mfano wewe nini ambacho huwa kinakupa nyege?
Mifano mitatu tafadhali...
Akwa matumizi ya binadamu .....loh.Daaah!!! Unafaa!
Hahaaa......hvyo vitu anajua babe tu.......sasa nikitaja hapa jamani nitakuwa nimetoa siri ya chumbani.
Unafaa kuwa babe!.........i wish if miracles could happen!Kwa m
Akwa matumizi ya binadamu .....loh.
Mwanamke anaekunywa pombe na mpenda kitimoto ni hatari sana weka mbali na watoto. Kuna mdada tunafanya nae kazi katika ofisi fulani hivi yani anapenda ofa balaa so kila anae mtoa ofa siku hiyo hiyo unakula mzigo,hivyo kajikuta amechwapwa na washikaji wote kwa kupenda pombe na kitimoto.Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae?? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi. Na kingine mwanamke akinywa pombe naona anakua kwenye risk ya kuchepuka kwa sababu anaweza akapata offer ya mwanaume akalewa watu wakajilia vyao. Wadau nyie mnalionaje hili swala na kama ishakutokea uliwezaje kutatua.
Dah yani hiyo sababu inanipatia babe jf......Unafaa kuwa babe!.........i wish if miracles could happen!
Ha!haaaa!!! Kumbe wewe my Sisy ni noma!!Asa zinauwingi gani hizo????
Na nyie washkaji mnawezaje kushare sehemu moja.Mwanamke anaekunywa pombe na mpenda kitimoto ni hatari sana weka mbali na watoto. Kuna mdada tunafanya nae kazi katika ofisi fulani hivi yani anapenda ofa balaa so kila anae mtoa ofa siku hiyo hiyo unakula mzigo,hivyo kajikuta amechwapwa na washikaji wote kwa kupenda pombe na kitimoto.
Aisee kweli ni hatariMwanamke anaekunywa pombe na mpenda kitimoto ni hatari sana weka mbali na watoto. Kuna mdada tunafanya nae kazi katika ofisi fulani hivi yani anapenda ofa balaa so kila anae mtoa ofa siku hiyo hiyo unakula mzigo,hivyo kajikuta amechwapwa na washikaji wote kwa kupenda pombe na kitimoto.
Mwanamke anaekunywa pombe na mpenda kitimoto ni hatari sana weka mbali na watoto. Kuna mdada tunafanya nae kazi katika ofisi fulani hivi yani anapenda ofa balaa so kila anae mtoa ofa siku hiyo hiyo unakula mzigo,hivyo kajikuta amechwapwa na washikaji wote kwa kupenda pombe na kitimoto.Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae?? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi. Na kingine mwanamke akinywa pombe naona anakua kwenye risk ya kuchepuka kwa sababu anaweza akapata offer ya mwanaume akalewa watu wakajilia vyao. Wadau nyie mnalionaje hili swala na kama ishakutokea uliwezaje kutatua.
Siwezi ingia katika chain hiyo SISTER maana najipenda,najiheshimu na kutunza heshima yangu!!Na nyie washkaji mnawezaje kushare sehemu moja.
Tena nyie warombo, kibosho, machame, uru, marangu...my goodness nyie watu mnakunywa hadi kero. Sijui hamuelewi kura you drink too much.Weita ongeza ndovu baridi
Kuolewa na mlevi pia hasara.yani ninyi wanaume mko bize kuhangaika na wanawake.ninyi mkilewa hamchepuki! Vinawauma sana tukifanya yale mnayoyafanya.jichunguzeni kwanza mmetukosea wapi sio kila siku kutulilia humu