Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

dawa yake ndogo tu....akilewa wewe kula ndogo...akilewa siku nyingine kula ndogo tena lazima anyooke
Mkuu ndo kamchezo kako hako?? Hapo utakua humkomoi ni kujitafutia magonjwa tu
 
Mi demu wangu akigonga wine anakua na vitu adimu sana kwa bed,yaani utadhani sio yeye!Yaani mpaka nilishazoea,nikiwa na ratiba ya kupiga kazi basi lazima nimzuge ili tu anikute bar,akifika ananikuta na kinywaji so atasubiri nimalize turudi home,mi nae najichelewesha mpaka anaamua naye apate kinywaji chake pendwa(wine)!
Yes,hapo najua siku hiyo mambo safi!
 
Wote mkiwa walevi ni raha,ila ukimzoesha kuna siku watu watajilia vyombo
 
Kwanza kuna marafiki ambao walikuwa wanajua napiga maji mbaya kipindi hicho.... Wanakuwa surprised kuwa sinywi pombe hata kuonja kwa muda mrefu sasa.... Kuna ambao wanapiga vijembe kuonyesha kuwa nimekuwa mshamba ghafla eeee yaani unaacha kunywa pombe sasa unakunywa nini.... na vikejeli vya kiaina.... I really dont care very much.... Naendelea kusisitiza kuwa kiasi cha pombe nilichotumia huko nyuma nafikiri kimenitosha na so far sikumbuki faida kubwa sana niliyopata kwa kula maji kipindi hicho blablablablabla..... na hakuna namna narudi kutumia pombe .... vitu kama hivyo ..... wengine wanacheeeeka yaani kuona nimepotea mbaya.... Kwangu hainisumbui.... Tutaagana narudi nyumbani kwangu kufurahi na familia.....

Wow...that is so impressive msweet. Inspirational story. Kila kitu kinwezekana mtu akiamua kwa dhat.

Very genuinely HONGERA sana kwa kuweza kusimamia maamuzi yako pamoja na kuwa umekutana na changamoto nyingi kutoka kwa marafiki pale ulipoamua kuacha kunywa.

Nakuona uko tofauti na wadada wengi wa kileo katika kufanya maamuzi na kuyasimamia ipasavyo. Yeah, it is quite uncommon..sio kwenye kuacha pombe tu ila hata kwenye mambo mengine ya kimaisha.

Mara nyingi kuhusu kuacha pombe ishu sio kuacha kunywa pombe bali ishu kubwa ni kubakia kwenye kuacha kunywa hiyo pombe (sustaining abstinence) huku ukikabiliana na presha na vishawishi kibao kutoka kwa peers na watu wengine wanaomzunguuka mtu.

Wewe umetaja badhi ya maneno waliyokuwa wanakuambia lakini naamini wengine walikuwa kichinichini wanasema kuwa umefulia...kwamba huna hela. Tena rafikiangu ingekuwa ndo unaacha kunywa kipindi hiki cha Anko Magu (JPM) wangepata justification ya kutosha.

Wewe ni mwanamke imara. Keep that up. Huwa nafurahishwaga mno na wanawake wanao-display strongly kuwa wana misimamo kwenye mambo ya msingi and that they are incharge of their life. Hii ni muhimu katika kila kitu na simaanishi kwenye kuacha pombe tu. Na sio kama wale wadada wanaoshikiliwa akili zao na mashoga halafu majuto anakuwa ni mjukuu baadae when it is too late.

msweet natamani sana ningeweza kukuunganisha na Bidada mmoja ambaye amekuwa akiyumbishwa kama pendera na marafiki zake kila anapoamua kuacha kunywa.
 
Karibu sana Kaka.... Nipo tayari kumsaidia huyo mrembo kama kweli naye ana dhamira ya kuachana na pombe....
 
Kwanini usiweze Mbona tunawavumilia wanaume walevi
 
Mimi huwa napenda sana mwanamke anaekunywa KONYAGI... my favorite
Maana baada ya hapo GAME lake ni balaa
 
ukiamua kuwa nae basi kubali outcome....la sivoingia relation au ndoa na asiyetumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom