Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,445
Kile kitambi chako bado kipo dear?
Hahahahahaaahah kimepungua sana sana sana.... almost yeah.... Kiuno kinaonekana sasa hhahahahaha.... Acha uchokozi ....
Kile kitambi chako bado kipo dear?
Teh!teh!teh!!! Hongera mwaya!Hahahahahaaahah kimepungua sana sana sana.... almost yeah.... Kiuno kinaonekana sasa hhahahahaha.... Acha uchokozi ....
Teh!teh!teh!!! Hongera mwaya!
Mkuu ni shida acha tuMwanamke/Mwanaume mlevi wanatakiwa waishi pamoja ndio maisha yataenda vizuri.Lakini kama mmoja kati yao hatumii alcohol hakutakuwa na usawa since kwa mtu asiyekunywa pombe ile harufu inakera sana .
Mkuu tatizo ni hizo harufu na pia nyg zikiwapanda kuwavulia chp wanaume hawafikirii mara mbiliWanaume bana mwanamke akinywa sheeda ila nyie sasaa,anyway mabinti nao ni vyema kujiongeza usinywe zaidi ya mwanaume wako,na kama hanywi basi Acha kabisaa usigusee
Hahaaaa hilo litakuwa dume.......Dalili zinaonesha muda si mrafu atahamia kwako. Kuna kifaa kipya nakiona huku kinanigongea like kila bandiko. Hakika siwezi kuichezea hii fursa
Ofcz mwanamke km hujielewi plus pombe hamna namnaMkuu tatizo ni hizo harufu na pia nyg zikiwapanda kuwavulia chp wanaume hawafikirii mara mbili
Sema hakyamungu.... ee Mola niepushe na hii dhahma ya mimi mtumishi wako kuwa basha. AmenHahaaaa hilo litakuwa dume.......
Hahaaaa ila hakikisha ndugu yako Nyani Ngabu nae anapata fursa......mana ni babu mwenzio najua hatanisumbua.Na hakika ntaua mtu kwa ajili yako. Ndo ukomage kuniopaga vitu vitamu na adimu
Afu ukumbNa hakika ntaua mtu kwa ajili yako. Ndo ukomage kuniopaga vitu vitamu na adimu
We endelea kupenda penda tu......Sema hakyamungu.... ee Mola niepushe na hii dhahma ya mimi mtumishi wako kuwa basha. Amen
Sijawahi kuwa na mashaka na komredi Nyani Ngabu. Umfanyie kama unavyonifanyia, kasoro kimoja tu. Najua unakijua.Hahaaaa ila hakikisha ndugu yako Nyani Ngabu nae anapata fursa......mana ni babu mwenzio najua hatanisumbua.
Afu ukumb
Siwezi kukuachaWe endelea kupenda penda tu......
Sasa kwake si inabidi niongeze maujuzi zaidi.....na nimpe zaidi ya kwako......Sijawahi kuwa na mashaka na komredi Nyani Ngabu. Umfanyie kama unavyonifanyia, kasoro kimoja tu. Najua unakijua.
Ghatuachani bali tunaenda kutafuta ujuzi nje.....Siwezi kukuacha
Sasa kwake si inabidi niongeze maujuzi zaidi.....na nimpe zaidi ya kwako......
Afu ngoja nianze kumgongea likes za kutosha labda nae ataona fursa kama ulivyoiona kwa mrembo mpya.
Ewaaaaaaaa...........Ghatuachani bali tunaenda kutafuta ujuzi nje.....
Yani nshai gonga chap chap.Hi babe...miss yuuuu. Gonga laiki babe....
Kwahiyo tunaenda kwa amani sasa.....Ewaaaaaaaa...........
Hakipasuki.Pasua kichwa.