igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,502
Shem wako nilimkataza kunywa" red blue"[emoji12] kwa mara ya kwanza nakisikia kinywaji hiki.
Ha ha ha Safari ndogoKirikuu ndo nini....
Unalewa ngapi??Asa zinauwingi gani hizo????
Mie sio mlevi mwisho wangu ni 7-8Unalewa ngapi??
7-8 unakua hujalewa bado.. Basi uko vuzuriMie sio mlevi mwisho wangu ni 7-8
Kabisaaaa7-8 unakua hujalewa bado.. Basi uko vuzuri
Hiki unachokizungumzia kiko hata kwa wanaume,ni risk factor kwa wote ndugu,ingawa hapa utaona wanaume wasiojielewa watakavyo kuwa wabinafsi kujitetea kuwa kwa wao ni sahihi.Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae?? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi. Na kingine mwanamke akinywa pombe naona anakua kwenye risk ya kuchepuka kwa sababu anaweza akapata offer ya mwanaume akalewa watu wakajilia vyao. Wadau nyie mnalionaje hili swala na kama ishakutokea uliwezaje kutatua.
Hongera..Kabisaaaa
Kweli mkuu mana bila hivyo mmoja wao lazima ajisikie vibayaKama ni swala la ulevi basi wote ke na me wawe walevi labda ndiyo wataelewana
kwa kujishaua mwanaume.,,looh nyie ndo mnabeba hadi mabaamaid.Milkstout tuu???hata ungekunywa Milkhilux D4D siwezi oa mke mnywaji pombe
Hahaaaa tunywe juice tu jamani....lohAchilia mbali mlevi, mimi nikishaona ameshika Heineken, savanna etc ndio naachia hapo.
Hahaaaa tunywe juice tu jamani....lohAchilia mbali mlevi, mimi nikishaona ameshika Heineken, savanna etc ndio naachia hapo.
Anko magu kabana hela....hapa wanatutafutia sababu ili tusinywe.........Wanajijari wao tu
Sie tunawavumilia hata wakiwa walevi
Ila sie tukinywa hata lite 4tu, majangaaa
Ukinywa unajiskiaje??Anko magu kabana hela....hapa wanatutafutia sababu ili tusinywe.........
Burudani..,..............na babe akiwa pembeni ndiyo kabisa.Ukinywa unajiskiaje??
Hiyo ni strong beer, mmh!mie napenda sana , mwanaume ninaekuwa nae aninunulie sana castle milkstout baada ya hapo...atatoa adith zot za kwao loooh!