Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,100
- 29,641
Mimi natumia PSIPHONHabar za muda huu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa jamii forums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa.
Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa jamii forums.
Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe na chaguo lingine .
#Kaata_wahuni
#free_jamiiforums
#free_twitter