Unatumia VPN gani?

Unatumia VPN gani?

Kwisha habari yao. Inabidi watunge sheria ya kukataza Opera mini
Hiyo itakuwa wanavuka mipaka sasa.Jiwe mwenyewe hakuwa na ujinga wa hivi sijui hili darasa wamepata wapi?(yeye alikuwa anawaza malaika wamsaidie tu kufungia mitandao)
 
Iv wadau kwenye zamani twitter sasa x unafanyaje ili kuangalia account za mambo ya minyanduano maana nimeingia leo nakuta haingiliki
 
Download opera mini app huko utakuta kila kitu
 
Sijakupata bado mkuu opera mini app inakuaje maana nataka kuona kwenye zamani twitter au sasa x
Kama unashindwa kupata X(twitter) login ni kwamba access imekuwa denied na wenye mamlaka.Download Orbot app kwenye playstore(kama huwezi kuafford paid VPN) hii ni free.Ukishafanya installation nenda kwenye choose app,add X na app nyingine unazopenda then activate Orbot utakuwa huru.Lakini home boy mambo ya zinaa acha nayo.
 
Mkuu mbona nime download iyo app ya orbot nikaenda kwenye chooses app nika add x nika save pia nimeingia x bado nakuta hazifunguki izo account
 
Hizo account nyingi zilikuwa suspended na X kwa muda japo bado kuna baadhi ziko active mpaka sasa.Kingine inaweza kuwa internet yako iko chini eneo ulipo
 
😂😂😂😂😂😂😂 oya vpn ni ngumu sana kuzuia japo mm siyo IT lakin ni ngumu sana
Ni vigumu sana kuzuia VPN, zina bypass hadi barriers za wachina ndiyo ije iwe bongo hii
 
Back
Top Bottom