Be humble 😬Mnataka muijue muipige pini?View attachment 3466780
Nipo nje ya TzUpo bongo kweli?😂😂
Oya acha upuuzi Jombis nitakushitaki TCRA , cheki jiandiko baya kama mibange yako.
😂😂😂Tunaijua hiyooMnataka muijue muipige pini?View attachment 3466780
Jamaa ni mental case hiyo.Mjomba ndio nn?
Jf ina vituko😂🤣Mnataka muijue muipige pini?View attachment 3466780
Mnataka muijue muipige pini?View attachment 3466780
Na inawezekana ndo lengo la huu uzi, wazijue wazisambaratishe mazimaMsizitaje watazizuia
Kweli ni ngumu, ndo sababu wanatafuta orodha kwanza😂😂😂😂😂😂😂 oya vpn ni ngumu sana kuzuia japo mm siyo IT lakin ni ngumu sana
Ya kwangu inaitwa jambaroot vpnHabar za muda huu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa jamii forums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa.
Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa jamii forums.
Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe na chaguo lingine .
#Kaata_wahuni
#free_jamiiforums
#free_twitter
Na mimi natumia thunder iko poa sanaHabar za muda huu .