Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,732
Ishakukuta nini?Huwa inauma sana mkuu
Ni sawa na vile unaleta shobo kwa dem unayempenda halafu yeye hana time,, yeye anapeleka shobo zake kwa mwanaume mwenzako huku wewe unashuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...na mademu wa hivi unakuwa unawapenda hatari.Umenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
poleeeUmenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unapindua maandiko ?Sio kila aombaye hupewa
Hahaha...na mademu wa hivi unakuwa unawapenda hatari.