Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Umenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu alijisemesha wakati anavivaa "ngoja leo nivae hivi viatu vya huyu fala"...
 
Ile naomba vocha
Mwanaume unajitutumua unatuma unasubiri hata SMS tu ya ahsante. Dadeeeq hadi unaamua wewe ndo umcheki ile kumcheki unakuta
iko biz unatulia kidogo ile kumcheki tena unaskia
SAMAHANI MTEJA UNAYEMPIGIA ANAONGEA NA SIMU NYINGINE TAFADHALI SUBIRI
Hahahah.

Mkuu una uzoefu wa hali ya juu. Endelea kutupa uzoefu.
 
Back
Top Bottom